Habar ndugu zang, nataman kuchagua course ya renewable energy technology ktk chuo cha DIT nilikua nauliza upatikanaji wa ajira na je hii course ntawezaje kujiajiri mm mwenywe...?? Naomba mawazo yenu
Habari wakuu;
Naomba kujuzwa juu ya shahada zifuatazo;
1:Bachelor degree in planning&community development.
2:Bachelor degree in population&development planning.
Naomba nijuzwe yafuatayo
1...
kwa wale mliokosa first round TCU kuwen wavumiliv TCU wafanye kaz zao kwa umakin sio kaz rahisi kuwapanga wanafunzi .tunatarajia wiki ijayo selection zitatoka na kila aliyeomba atalidhika na matokeo
Nawasalimu katika Jina La mwenyezi Mungu, wakubwa zangu heshima kwenu.
Nimeamua Leo nitoe ushauri kwa wadogo zangu ama pia wakubwa zangu ambao watabahatika kuchaguliwa kujiunga na elimu ya juu...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Date...
Wizara ya elimu sayansi na teknolojia imefuta posho ambazo walikuwa wanalipwa walimu pindi wako kwenye kazi ya kusairisha mitihani kama pesa yao ya kujikimu badala yake serikali imedai kuwa zoezi...
Wakuu naombeni msaada wa Fee Structure ya UDSM undergraduate.Kuna mambo kadhaa ningependa kujua kwa bahati mbaya siyaoni kwenye website yao. Labda kama kuna mtu ana prospectus ya 2016/17
Direct...
Wanajukwaa la elimu hamjambo?
Naandika haya yaliyonikuta kwenye mfumo wa cas ya tcu 2016/17 na sijui yaliyotokea huko nyuma ie 2015/2016 etc.
Yaliyonikuta.
Shemeji yangu alimaliza form4 2013 na...
Morn jf.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kimawazo mwanzo niliambiwa nitafute chuo nikachaguliwa certificate in law mzumbe now Wazazi wanasema hawana Ada nivumilie mpaka mwakani ila watashulikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.