Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wadau, Samahani sana wadau wa elimu, Nina mdogo wangu kachaguliwa kujiunga na Astashahada (Certificate) ya Sheria katika Chuo kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) Kupitia NACTE, Kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kuuliza iv inatakiwa uende na copy ya Ile form uliombea mkopo
0 Reactions
1 Replies
666 Views
nilituma maombi ya mkopo na kila kitu nikaweka halafu leo naambiwa cheti cha kuzaliwa hakipo wakati cheti niliambatanisha wakati natuma..
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania (HESLB), imetoa rasmi orodha ya majina ya waombaji ambao wamekosea kujaza fomu za maombi ya mkopo kwa mwaka wa masomo wa 2016/17. ========== HIGHER...
3 Reactions
17 Replies
11K Views
[http://www.heslb.go.tz/images/files/LIST_OF_APPLICANTS_TO_CORRECT_NECESSARY_INFORMATION.pdf] is good,have a look at it!
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wale walobaatika kuchaguliwa agronomy Leteni habari navipi uu mzigo ukoje
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salama wakuu ! Naombeni kujua wigo wa hii course ilitajwa hapo juu . kuhusu field zake maana kuna mdogo wangu anang'ang'ania. Mimi kama kaka yake sina ujuzi na hiyo course
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari. Nnahoja binafsi, inayohusu namna wakuu wanavyo ongoza shule zao na matokeo mabovu ya wanafunzi wao. 1. Matumizi ya misuli badala ya ushawishi. Katika shule kadhaa around 27 na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kujitambua kwa wakati ni kujielewa nini ufanye ktk wakati na mazingira stahiki. Wengine wamekuwa wakifanya vitu bila ya kujitambua kama hicho akifanyacho ni ktk wakati sahihi na mazingira...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
INGIA HAPA Chini ya maelezo kuna pameandikwa Clicking here[/Red] ukiclick unaanza kudownload majina yapo kwa oder ya index namba yako ya o-level Hakikisha simu janja yako ina Adobe Reader au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bodi ya mikopo ya vyuo vikuu leo imetoa majina wa wanafunzi ambao waliomba mkopo lkn kukawa na makosa yaliyojitokeza wakati wanaomba na hivyo kutoa muda wa siku kadhaa ili kufanya marekebisho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The list of loan applicants with missing signatures and other attachments can be viewed by Clicking here
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za asubuh jamani..? Naomba mnisaidie hivi kwenye majina ya waliokosea vitu vidogovidogo kwenye kuomba mkopo zile namba mwanzoni zimekaaje ni za form four au? Nisaidien
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Habarini wana jf Just wanted to know kama vyuo vyote vya afya ikiwemo muhas tayar majina wameyatoa
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOOMBA MKOPO 2016/2016. kumekuwa na taarifa zisizo rasmi juu ya utolewaji wa majina ya wanafunzi waliokosea kuwa yameshatolewa ila naomba niwekr sawa.bodi ya mikopo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye selection Za vyuo hivyo Za first barch anitumie
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Majina ya KCmC vepeeeee, mpaka Yesu arudi
2 Reactions
2 Replies
921 Views
Naomba mnisaidie nataka ni update Marshmallow hios kwenye tecno c5 nifanyeje.
0 Reactions
1 Replies
476 Views
Back
Top Bottom