Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
kwa first year wote waliochaguliwa udom-college of informatics and virtual education (CIVE) 2016/2017 tukutane hapa uliza swali lolote utajibiwa! karibuni sana na hongereni sana kwa kuchaguliwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninajua kua wengi wanaweza kunipinga sana humu juu ya andiko hii lakini mimi ninaandika kutoa maoni yangu mimi kama mimi Mahanju, ninasema hivi kwa jinsi ninavyoona mimi. Nimekua nikitafakari...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbona wako kimya na vyuo ndio zinafunguliwa kuanzia kesho????? Msaada wakuu
0 Reactions
6 Replies
821 Views
Habari zenu wana jamii forum! Naomba kujua kwa wale wenye GPA ya 3.0 walio apply juzjuz tu je kuna aliyechaguliwa? Cz mm nimetembea website za vyuo nilivyo apply co majibu wala tanagazo lolote...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Napenda kuwasiliana na wanaosoma hiyo Coarse tajwa hapo juu, iwe mwaka wa pili au wa tatu, aliyehitimu hivi karibuni kwenye chuo hicho cha UDSM ili tushauriane mambo mawili matatu kuhusu hiyo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Food for Thought !!! Technology is changing the way we think, focus and learn. Still, the schools are using teaching methods from the era before advanced technology. Watch and Learn
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimae st Augustine wameanza kuvunja ukimya kwa kutoa majina ya tawi la Arusha. Www.saut.ac.tz
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo mwaka uu ad kufika mwez wa kumi kimya tu duh Ata update yeyote bas mtupe maana dah mda sasa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu Chuo cha maji kimetoa majina ya diploma holder na form 6 kwa pamoja first batch, hvyo tusubri kidogo na tuamin kwamba hatujatengwa Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
msaada jaman. naona nimechaguliwa chuo, na kwenda ni tarehe moja october ila sijui mkopo naangalizia wapi na nimepata asilimia ngapi??. kwa mwenye taarifa msaada jaman.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF naomba kwa anajua mazingira ya hii campus, hostels na kadhalika naomba ani fahamishe
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tuliochaguliwa Bachelor of arts in International Relations tukutane hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama hizo post hazitolewi semeni watu wafanye mambo mengine kiliko kukaa kusubiri mambo ambayo hatuna uhakika Nayo....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF,,,,nasikia eti majina ya TIA yamebandikwa chuoni ni kweli???msaada tafadhàli mwenye inf hyo
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Nashauri TCU na NACTE wafanye haya:- Warudishi mfumo wa mwanzo wa kudahili wanafunzi muda wowote kwa vyuo, kama ilivyo Open University of Tanzania na Jomo kenyatta University lakini udahili...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyuo Vilivyotoa Selection (machaguo) Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 Vyuo Vilivyotoa Selection (machaguo) Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
[http://www.bugando.ac.tz/attachments/MD_2016-17.pdf] is good,have a look at it!
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndungu wana jf habari za wakati kuna ndungu yangu amechaguliwa mwalimu nyerere kigamboni kusomea techinician certificate in primary education lakini kuna vitu ningeomba mnisaidie maelekezo kidogo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
ndugu zangu najua kuna mliokosa first round ya TCU ,,wengi wenu kwa sasa mnajaza course yoyote ili mradi upate chuo eti ukifika utabadili course.... natoa angalizo hii iliwahi kunikuta na mimi ni...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Mbona wako kimya sana mwaka huu??? Hata majina waliokosea kuomba hawajatoa!!! Au mwaka huu hayupo aliyekosea kuomba?????
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom