Nitoe angalizo hasa kwa wale undergraduate mliochaguliwa vyuo vya private mjipange financially kuanzia sasa. Ifahamike kuwa hata upate 100% ya mkopo kutoka heslb huwa kuna nyongeza ya ada...
leo open university wametoa majina ya wale walioapply degree kupitia Tcu je ?wale walioapply direct chuoni wanatoa majina lini? au waliapply direct chuoni wameibiwa ??
naombeni msaada wenu jaman mim nikilog in kwenye profile yang inakataa . sijajua kama nimechaguliwa ama laa. naombeni mniangalizie ; praygod festo s,3312/030/2014. mwenye compyut anisaidie coz cm...
Wadau naomba kuuliza Mazingira ya chuo cha MZUMBE Morogoro yakoje manake nimeomba na vip kuhusu vyumba vya kupanga pamoja na maisha ya huko kiujumla course ya BBA IN PROCUREMENT AND LOGISTICS...
habari ya hapa.
kumekuwa na miibuko ya maneno ya ajabu sana... mtu anakwambia 1) huyu was kwanza kuzaliwa.
2) MUNGU was mbinguni akulinde.
3)mchezo was kwanza umeisha..... n.k
je! hili neno was...
Hello [emoji112], wanafunzi wote waliochaguliwa na nacte na tcu kujiunga na chuo cha K.I.U (gongolamboto), wenye UHITAJI wa hostel na vyumba vya kupangisha kwa bei nafuu (karibu na chuo), ni vyema...
Mm nimechaguliwa udom bachelor of biology lkn nasikia eti iyo koz haina mpango wowote yaani wengi wanaomaliza kusoma hawapat kaz pia field hakuna..naomba tujuzane kama ni kweli nianze mipango ya...
Nashangaa mpaka Leo tar 28 baadhi ya vyuo havijatoa list ya selected
Ina maana bado wanafanya approval ???? Mbona vingine tayari
Huku sasa kutiana presha .....!
kwa yeyote au mahali popote penye uhitaji wa mwalimu mzuri wa kingereza ,naomba tuwasiliane,ni mwalim mzuri anafundisha kuanzia darasa la awali mpaka vyuo ngazi ya chet na diploma.anapatikana dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.