Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Katika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu!! Mwenye Joining instruction ya chuo cha Morogoro public health naomba anitumie tafadhari!!
1 Reactions
12 Replies
7K Views
habari, wadau Napenda kufahamu vyuo vinavyofundisha kozi za jioni hasa kozi ya bachelor. Nafahamu chuo cha CBE wanafundisha kozi za jioni na chuo cha IFM wanafundisha kozi za jioni. ningependa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Nimepata habari kuwa kutokana na vyuo vikuu vingi kukosa wanafunzi wa kutosha kutokana serikali kuweka viwango vipya vya ufaulu imeilazimu serikali kupunguza viwango hivyo ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau wale tuliochaguliwa chuo cha ualimu kingori arusha tukutane hapa kufahamiana zaid`. contacts,,0655179201
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF naomba kuuliza mbona hii faculty ya Commerce in tourism and hospitality haipo kwenye list ya faculty kwenye first batch ya udom lakn kwenye prospectus yao ilikuwepo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni kufahamishwa,mimi ni mwalimu wa shule binafsi tangu mwaka 2008 nilipangiwa shinyanga vijijini sikuweza kwenda kwasababu nilitakiwa kuwa karibu na mama mzazi aliyekua hospitalini kcmc...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna wanafunzi ambao wanaweza kwenda kusoma kozi mbalimbali katika nchi za Uingereza au Marekani, lakini huishia kulipa mamilioni na mamilioni ya fedha zikiwa ni gharama za masomo (Tuition fee) na...
2 Reactions
6 Replies
9K Views
UDOM:The 1st Statistical Conference, November 17 – 18, 2016 Department of Statistics, The University of Dodoma Statistics has wide application in different fields of human activity. It has a...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Mimi kabla sijamaliza f6 nilikuwa najua mtu mwenye ufaulu wa wastani kama division two ya 10-12 anaweza kupata chuo cha serikali kama DUCE, MUCE au hata UDOM nikajitahidi kadiri ya uwezo wangu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Pole kwa majukumu ya kutwa nzima jamani samahani naomba ufafanuzi kupata dhima ya mofimu 'li'katika neno limeshikilia Kwa sababu kuna mdahalo hapa kuna watu wanasema kama mzizi wa neno' shik '...
0 Reactions
11 Replies
22K Views
you have been provisionally selected .the programme selection shall become final after the university /instution confirm you for admission be advised that the final confirmed result will be made...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Jamani kunaweza kukawepo na third round? Ya wanafunzi kuaapply tena??
0 Reactions
3 Replies
685 Views
Jaman ndg naomben msaada kwa mwenye experience na hiz sec round applctn kutoka kwa hawa tcu huwaga majibu yao yanatoka mda gan au inadepend na idadi ya watu waliorudia bas kwa anayeelewa lolote...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau hapa NACTE kuna nini? Application haziendi, wanafunzi wameshindwa kutuma maombi. Ukiapply unaweza maliza siku nzima bila kufanikiwa. Mtandao wao uko chini. Wenyewe hata hawana majibu na...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kutokana na wanafunzi wa kitanzania kuhusika na usafirishaji wa mihadarati baadhi ya vyuo vya nje vimeamua kuwakataa wanafunzi wa kitanzania. Chanzo :STAR TV HABARI
1 Reactions
4 Replies
1K Views
siamini asee kumbe leo duh ayaahhh .....link hii hapa www.heslb.go.tz. ingia uonee wale au wale wamafunz hewa walionyimwaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hapa ndo nimegundua ukweli kuwa waliokuwa wananiongopea kuwa washachaguliwa kwa awamu ya pili ni waongo na walikuwa wanataka kuniua kwa pressure maana awamu ya kwanza nilikosa na awamu ya pili...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimechagua kozi ya information technology nipo chuoni tayari lakini nakutana na changamoto ya hesabu,hesabu ndio somo pekee lilikua likinitoa jasho o-level marks ya juu kabisa niliyowahi kupata...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom