Kama tunavoelewa ya kua tarehe 15/9/2016 TCU ilitangaza kushusha viwango vya kuingia chuo kikuu kwa wanafunzi waliomaliza diploma kutoka 3.5 mpaka 3.0 ,na kupewa fursa ya kuomba vyuo ambapo mwisho...
Katika kukua kwetu wengi tuliamin UD ni bonge la chuo na kinatoa watu vichwa balaaa
Ila kama ndo kina Maprofesa kama yule anayehojiwa mara kwa mara na vituo vya luninga sijui anaitwa Bansen...
Habar za wakati huu wana J.F naomba kuuliza,kuna shida gani inaweza kujitokeza kutokana na kubadilisha machaguo ya vyuo (selection) Maana baadhi ya watu wanadai inaweza kupelekea kutochaguliwa na...
Habar zenu jaman..nacte wanataka nini wanaponiambia ni re upload cheti changu na transcript?? Na nimefanya hvyo zaid ya malamoja lkn natumiwa email nikiambiwa ni upload...shida ipo wapi? msaada pls
Tangu jana nina mdogo wangu tunajaribu kujisajili kwa ajili ya kuomba chuo mfumo unagoma .Mwenye ufahamu kama kuna mabadiliko ya system ya TCU anifahamishe tafadhali
Hivi wafanyakazi wa Nacte wanafanya kazi kwa utaratibu waliojiwekea au kuna chombo kingine juu yao?
Watoto / wanafunzi wanafanya application, hawapati majibu na hakuna pa kuuliza ni kwa nini...
Kwa mfano mtu kapata supplimentary semester ya pili ya mwaka wa kwanza wa diploma na hakuweza kuifanya kwa muda uliopangwa kutokana na matatizo ya kiafya na kupangiwa muda wa kufanya sup kwa mwezi...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
imeongeza muda wa udahili wa
wanafunzi wanaotarajia kujiunga na vyuo
vikuu mwaka wa masomo 2016/2017 ili
kuwapa fursa waombaji ambao wana sifa
lakini hawakupata...
Jamani First round nmekosa nmefanya second round vyuo hivo apo nilipata division 2 ya 10 nilisoma HGL JE naweza chaguliwa au kwa anayefahamu ivo vyuo anijuze je viko vip na ubora wake...
Salama wandugu,
Wandugu nilikua naogopa kuapply chuo baada ya kumaliza degree ya kwanaza mwaka 2011 na kuona kama haina msaada saana katika kujichanganya kwangu uswazi. je naweza kupata chuo...
Vifuatavyo ni vyuo vikuu ambavyo vina nafasi kwa wale waliokosa awamu ya kwanza
HIVI HAPA VYUO VIKUU VYENYE NAFASI KWA FORM 6 WALIOKOSA KUCHAGULIWA AWAMU YA KWANZA 2016/2017 | KINGAZITEE BLOG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.