Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wa jamii ,naomba kujuzwa kama title isemavyo hapo!!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikitika sana, tena sana kauli ya naibu wazir wkt akijib swali bungeni Si sahihi kutangaza kitu kama hicho, wanaotaka kufanya hivyo wawe huru kuamua Binafsi siwez kufundisha primary. Nasikia...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama umechaguliwa hapo njoo tufahamiane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada kujua kama ni kweli kuwa kwa walioziona course ambazo wamepangiwa siku chache zilozopita kabla ya kufungwa kwa ile link iliyokua inaonyesha course aliyochaguliwa mtu je kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakati najia andaa kutupia hoja jiulize yafuatayo... Ina kua aje? wanafunzi waliopata alama za chini za ufaulu ndio wachaguliwe kwenda kusoma uwalimu..??. wanafunzi walio maliza kidato cha nne...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
eh wadau Nina best angu kaaply third selection je kuna anaewezajua tetesi kwamba zinatokalini??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesahau user name na password
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Wakuu kama yupo anaejua vigezo walivyotumia TCU kufanya sellection atuambie maana sellection hazina usawa kuna watu wameperform vzur na wameachwa ila kuna wengne wamechukuliwa kwa perfomance hiyo...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Huu utaratibu wa kuchagua watu na kuwapa taarifa kuwa wamechaguliwa katika mojawapo ya kozi walizoomba, lakini uthibitisho utatoka kwenye chuo husika HAUFAI! Halafu huyu MTU ikitokea chuo...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Habari wakuu! mimi nilipata division 3 ya 13 na niliomba vyuo vifuatavyo 1. SAUT 2.UDOM 3.DUCE 4.MUCE 5.TUMAINI Coarse nilichagua ya education nimelogin nkakuta wameniandikia hivi YOU HAVE...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna diploma holder kashachaguliwa Kwani profile yangu bado haifunguki, mwenye tarifa naomba anijuze
0 Reactions
8 Replies
915 Views
Habari wanajf, Ni hivi karibuni NACTE wametoa selection kwa wale walioomba awamu ya pili diploma studies. Lakini katika taarifa zinazoonekana kwenye profile za baadhi ya watu, kuna mkanganyiko...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimemaliza kujaza second round application lakini nikitaka niprint for reference inagoma au second round hakuna kuprint
0 Reactions
9 Replies
1K Views
najua wengi mmekimbia somo la hesabu ila ukishndwa kujibu usahau maisha yako kujua hesabu
0 Reactions
100 Replies
10K Views
Wakuu, Nimeona malalamiko kibao kuhusu watu ambao hawajawahi kukopa kupewa notisi za kudaiwa na Bodi ya Mikopo. Nadhani hawa jamaa inabidi wajirekebishe. Kabla ya kutoa notisi za kudai kupitia...
2 Reactions
0 Replies
625 Views
Ivi ukiwa Na div four ya 26 unaweza somea ualimu kwa vyuo private
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu tafadhali naombeni kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusiana na kozi hii inayotolewa udsm anijulishe natanguliza shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu zangu naombeni Msaada kuhusu hivyo vyuo vizuri jamani vya education science kwa second round
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kujua ni vyuo vipi bado vina capacity kwenye kozi za afya na elimu (sayansi na art).
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wadau!? Katika tangazo lililotolewa na TCU juu ya hatua za kufanya second round application wameonesha unaweza kujaza hadi vyuo vitano kwa wale waliokosa first round application lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom