Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu ni topic gani ya Geography advance inasumbua Kati ya iz map photo survey research and statistics.
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Habar wakuu? samahani mi nauliza ka kuna chuo ambacho mpaka leo hii tareh 09/09.2016 hawajapata pesa ya field ile first installment yani 310K.case angu imebase zaid kufahamu kama hadi leo hiki...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu..mdogo wangu ameaply coz ya procurement na tayar alikuwa na certificate ya hyo procurement. Majibu kutoka nacte akaambiwa aombe kozi zingine. Sasa analia tu kuanzia jana anahisi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomben usha uri kuhusu hili jambo ni bora kwenda advnc kwa combntn ya CBG au kwnd kusoma dplm y ualim w secondry....
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Deleted
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona wale wa form 6 tayari wameshatoa majibu kwa baadhi yao,Vipi diploma holders zinatoka lini kwa wale waliomba kwenda degree?au kuna mwenye taarifa yoyote ile kuhusu ilo?
0 Reactions
3 Replies
701 Views
wana jf naomba mnijuze sifa anazotakiwa kuwa nazo mtu anayetaka kusomea ualim wa primary.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Nimechaguliwa kujiunga na chuo cha ADEM bagamoyo kwa level ya diploma, naomben msaada kwa yeyote aliyechaguliwa hapo na ameshapata Join instruction au namba ya simu ya wahusika ili tufanye...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Wandugu.... Nikiwa mmoja wa majipu kutoka udom now up to songea.... Saana nataka tufaamiane waalimu wenzangu LAKINI pia kwa walio huko chuoni na kwa wanaofamu japo kuzoea mazingira ya chuo na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau, TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe...
2 Reactions
137 Replies
16K Views
Jamani ni kweli selection TCU wametoa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba msaada wa anaejua jinsi ya kujiunga na ualimu wa shule ya msingi kwa level ya labda certificate ama diploma ya shule ya msingi vigezo ni nini msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi na masikitiko makubwa kila siku Mimi ni mtu wa chai tu kunywa pesa yangu ya mkopo ilienda udsm wakati Mimi nimechaguliwa chuo kingine Yaani inaniuma sana naeenda bodi wananieleza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama unataka kuangaliziwa matokeo ya chuo gani umepangwa nitumie ...Namba yako ya form 4 na password...kwa watu 10 tu..
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba uulize hii course inaitwa bachelor in ecinomics-economic policy and planning nimekopi ka ilivyo rafiki yangu amechaguliwa hiyo na anauliza inahusu nn ,, yani inshort details in all...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Naombeni ufahamu wa malazi na mazingila ya huko.pia ada na mengineyo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada joining instructions ya masasi clinical officers nimechaguliwa course ya clinical medicine
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba kuuliza et mtu akisoma certificate Ya pharmacy anaweza kusoma diploma in clinical medicine???
0 Reactions
7 Replies
998 Views
Plz wakuu binafsi nmechaguliwa ordinary diploma ya pharmancy but mm nilitamani sana nisome clinical medicine lkn baada ya kuomba ushauri kwa watu walionitangulia wakanigusia pia medical labaratory...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo cha St. Joseph wameshaanza kutumia watu notifications kwa njia ya SMS!!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom