Sasa kama wewe umekubaliana na uamuzi wa mwanao kusoma sayansi kwa kulazimishwa basi pole, ila acha mimi nitafute pesa kufa na kupona kumpeleka mwanangu nje ya nchi kusoma anachokitaka, akapate...
Jamani naomba kufahamu kuhusu mikopo ya elimu ya juu kwa wale waliotoka makazini ipo kweli mana kuna blogger mmoja hivi ka post kudai mwaka uu au wale continues wanaweza wakasitishiwa mikopo...
Habari wanaJF, nimetengeneza video ambayo itakusaidia kutumia kirahisi mfumo(system) ya chenjifasta bila kugota sehemu.
Karibuni walimu pamoja na wauguzi wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi kwa...
Ndugu zangu mm ni mhitimu wa afya wa mwaka Jana mpaka sasa ktk kozi za CA/CO hatujapata vyeti wala transcription za matokeo je ni lini wizara itatoa maana sasa hata kuomba ajira private...
Wakuu habari...
Kwa alichokisema Simbachawene janaa aisee ina maana tangu Februari wanaujua ukweli wameficha na wanakanusha. Sasa kama sababu ni walimu wa arts si waajiri wa sayansi jamani.
Hii...
Nimepata taarifa zisizo rasmi,kama mdau wa elimu Tanzania,kuwa kuna mabadiliko makubwa katika elimu ya msingi yatafanyika hivi karibuni. Mabadiliko hayo yatahusu mitaala,masomo husika na muda wa...
Habari wakuu! Kulingana na picha hapo chini kwa vigezo hivyo , kwa mtu aliyepitia diploma ya account na gpa ya 3.9 anaweza chaguliwa hii kozi ya agribusness waheshimiwa? Ahsante
Wakuu nawaza kitu gani bora nikasome kati ya medical lab at Kampala international univerau agronomy at sokoine university...... I need your help wakuu,,,, Ahsanteni
Habari. Wakuu
Naomba nianze kwa kusema Sijui lolote msaada wenu tafadhali. Kuhusu hiyo course na chuo husika.
Is it Worth?
Msaada wenu wa dondooo muhimu inahitajika
Najua kuna wanaojua...
Habarini wanajamvi bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada husika.
Nimefanikiwa kuchaguliwa katika CHUO KIKUU Kimoja cha SERIKALI hapa Dar. Sasa sina uwezo wa kulipa kiasi chote cha Ada...
Habar zenu,
Mimi nilisoma PGM na nimefaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza...sasa nauliza kati ya hizo kozi tajwa hapo juu ipi inaweza kuwa nzuri in terms of kupata nafasi za kazi au kujiajili
Jamani anaefahamu kuhusu foundation course ya kujiunga na OPEN UNIVSRSTY kwa mwenye GPA ya chini ya 3.5 ufafanuzi kuhusu hiyoo course ipoje nainaendeshwajee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.