Error! Provided Index/Registration and Examination/Graduation Year Names Mismatch with the names provided during registration, check the and try again (Code 4002)
Ninapata hio error nikiingiza...
Kwa yoyote ambae anafahamu vizuri hormonal control of spermatogenesis jinsi inavyotokea kwenye mwili wa binadamu naomba anijuze(anielekeze) nimekwama hapa napiga msuli.
Napenda kuulizia chaguo la awamu ya pili kwa kidato cha nne itakua lini maana kuna ndugu yangu ana div III ya 22 hajachaguliwa kwenda advance tulivyofatilia tukaambiwa asubili awamu ya pili...
Pof. Ndalichako Abaini Wanafunzi Hewa Zaidi ya 1000 Vyuo Vikuu
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesitisha malipo ya posho za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu...
Habari wakuu.....mim ni mkemia nipo hapa kwa ajili ya kuitumia taaluma yangu ya ukemia na uwezo wangu wa kufundisha mim ni mwanafunz wa chuo mwaka wa 2 naenda course ya b.chem lakini pia niko na...
WADAU HABARI ZENU NAJUA HUMU KUNA WATU WENYE PROFFESIONAL NYINGI NAOMBA KUULIZA JE ?VYUO VYA VETA WAMEANZA KUTOA FOMU KWA AJIRI YA KUJIUNGA NA LONG COURSE MWAKANI?
Habari wana JF....
yeyote mwenye join instruction form ya haydom school of nursing 2016 ani PM ,,,kuna binamu yangu amechaguliwa hapo DIPLOMA CLINICAL MEDICINE first round...
NAFASI ZA KAZI MWALIMU WA UANDISHI WA HABARI NA MAWASILIANO YA UMMA (JOURNALISM AND MASSCOMMUNICATION).
AFA AWE NA BACHELOR DEGREE YA JOURNALISM.
WASILIANA NA MKUU WA CHUO EDEN HILLS COLLEGE...
Infamous test was dropped 30 years ago amid accusations its favoured those that were better off
Exam will now be introduced for all applicants and will be tailored to suit different subjects
First...
1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si Mkurugenzi wala Mkuu wa Wilaya anaweza kuteua, kutengua au kuvua...
Nimelipia kupitia M-pesa napo weka ile vocher niliotumiwa na TCU na ambiwa hivi:
"Sorry, either your payment transaction id is not valid or there was a delay in receiving your payment details...
Naomba msaada niendelee vipi? Nimeshafanya registration NACTE sasa katika kuendelea na step ya pili kuna sehemu inaitaji ujaze taarifa za o level na ukimaliza inakuja option ya kujaza information...
THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) SHINES
The University of Dodoma has shined during the 2nd Tanzania Women Engineers Convention and Exhibition (TAWECE) 2016, held in Dar es Salaam, today, August...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.