Mimi Ni kijana wakkitanzania muhitimu wa shahada ya kwa ya Elimu katika Sera, mipango Na utawala.
Nafundisha Geography Na Economics II.
Pia kwa primary nafundisha Geography, Civics Na ICT.
Nina...
Msaada wakuu utofauti wa hizi kozi,ipi iko poa,markertable na hata kujiajiri?!!!
Nimemaliza diploma ya accounting nashukuru matokeo mazuri.nakaribisha mawazo na ushauri wakuu ahsanteh.
Habari. wadau jamii foroum!leo nina tatizo ambalo linanisumbua kwa kiasi kikubwa.
Tatizo hili hasa linawahusu bodi ya mikopo kama mnavojua tuliambiwa kuwa kuapply mikopo mwisho tarehe...
Habari wakuu??
sio wote JF tuna elimu sawa sababu najua wengine wamepitia mengi na ni wajuzi wa mambo mengi zaid au wamesoma wamefika mbali sana,sisi ni ndugu wana jamiiforums
Mkuu mwenzenu...
Habari zenu wanaJF nilikuwa nauliza kama kuna mtu ana taarifa yoyote kuhusu hii kozi ya monitoring and evaluation kwa ngazi ya postgraduate au masters, chuo kinachofundisha hapa Tanzania na entry...
Waungwana nauza code ya M-pesa ya TCU kuna mdogo wangu alikua analipia chuo sasa akakosea akalipia kama form six levers kwa hiyo kama kuna mtu atakae kua anahitaji awasiliane na Mimi kupitia...
Jamani nimechanganyikiwa kati ya hz kozi Nne
BACHELOR DEGREE YA
1. Animal science ya SUA
2.wildlife management SUA
3.mathematics with ICT (EDUCATION)ya SUA
4.Agromechanics and water irrigation...
Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye bodi ya mikopo kwani si ajabu lile ombwe la baadhi watendaji ndani ya bodi kujigeuza wanafunzi na kujikopesha wenyewe bila marejesho limerudi tena.
Hii ni...
Habari wanaJF, na swali kwa wauguzi? Katika kufanya kazi za uuguzi kuna vitengo / idara . Kwa mfano muuguzi huyu anafanya idara/kitengo flani. Naomba mnipe ufafanuzi kuhusu vitengo/idara.
Msaada wadau,ninasoma guidebook ya diploma,kipengele cha kuchagua program sijaelewa diploma anachagua vyuo vingapi na program ngapi katika chuo kimoja?
TEKU bila TEKU HALL,LIBRARY,HEKIMA,AMANI na UZIMA HOSTEL ni majanga makubwa!,kumbi kama za SIMWANZA na MWAKASYUKA hazifai kwa maana kuna muingiliano wa mwangwi,wahadhiri wamegoma kutumia vipaza...
Habarini
hatimae TCU wametoa guide book imetokwa kwa waombaji wa diploma kwenda Degree
http://cas.tcu.go.tz/assets/images/Undergraduate_Admission_Guidebook_Equivalent_Applicants.pdf
Let's do mathematics, post something substantial to help others learn in one of the forums below:
1. University Level maths: Mathematics : Open Discussion Forums
2. Secondary School Advanced...
Kwa wale wote mliojaza chuo cha arusha technical college selection zmeshatoka na majina yapo nje
Hata kama profile yako imeandka wait for selection jarb kuangalia Website ya atc
Www. Atc. ac. Tz
Habarini za asubuh,
msaada kwa mtu anayejua namna ya kulipia nacte cas kwa mpesa ...
vtu vnavo nichanganya ni kuhusu reference namba na business namba hvo km kuna mtu mwenye ufaham vzur anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.