Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hawa TCU siwaelewi, sisi ambao hatujaenda chuo mwaka jana na tumewaandikia barua hatma yetu lini. Mbona hatuoni majina yoyote ambayo wametoa duuuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tunaomba mtujuze ada kwa mwaka huu.. pia mandhari ya chuo na sehemu kama hosteli au vyumba vya kupanga
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman Wakuu mimi ningependa kufahamishwa ni taasisi zipi za binafsi zinazotoa mikopo ya kielimu kwa elimu ya juu chuo kikuu ukiachana na Tasisi ya selikali ya (HELBS) Na utaratbu wao wa marejesho...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000 Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Mimi nilifanya application 28 may kupitia NACTE, ila sikukamilisha application coz kuna vyuo vilikuwa havionekani so nikaenda NACTE nikaambiwa nisubiri TCU watatupa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
daaa habari wana JF nauliza hivi ukiangalia guide book ya diploma from tcu kila chuo nacho angalia naona wanafunzi wanaoitajika kwa kila coz ni wachache je ni kwamba watu wa diploma tupo wachache...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ningependa kufahamishwa kwa yeyote mwenye kujua open university of tanzania ni lini wanatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga post...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri naombeni ushauri nisome nini au kozi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jaman nashindwa kuelewa lini application za wenye diploma zitaanza! Sijajua TCU wametoa taarifa gani na mwisho ni lini? Nisaidieni jamani!
1 Reactions
85 Replies
10K Views
Kukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau? Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Ushirikiano tafadhali. Kama umechaguliwa chuo cha afya weka matokeo yako yenye mwaka husika, kozi na chuo ulichochaguliwa. Kisha kama wewe uliomba kama mtahiniwa wa kujitegema "Private candidate"...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
,,,,,,Habari zenu wakuu??,,,, Nadhani nyote ni wazima wa afya ningependa kupata ufafanuz kutoka kwenu hivi kwanini TCU capacity wameweka chache yaani si kwa diploma holder wala form six leaver...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) shughuli yenu ni kuhakikisha uwepo wa mitaala, mihtasari na pia ufuatiliaji wa utekelezaji wa hayo. Kwa sasa TET wanaona kuwa vitabu vilivyoko shuleni ni vibaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nilikua nawaza na kuwazua nikajiuliza swali,kwanini Serikali isifanye Utaratibu wa Vyuo vya Veta kutoa elimu walau hadi ngazi ya Diploma? Mwanafunzi akimaliza grade I au level I...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh. Prof, sijui umesoma fani gani ie Arts or Science! Waache watotot wachague WANALOLIWEZA. Angalia equation hiyo hapo chini, this is absolutely abstract thinking ambayo siyo kila mmoja anayo...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Jamani napenda kufaham mtu yeyot anaye somea chuo kikuu cha Arusha. (UOA).
1 Reactions
16 Replies
2K Views
BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), limetangaza ufunguzi rasmi wa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (Central Admission System (CAS)) kwa mafunzo yanayoratibiwa na Baraza kwa mwaka wa masomo wa...
3 Reactions
100 Replies
96K Views
Naishi igunga, Tabora nakos mda kusoma darasni kutokna na ajira yang pia napenda kujiendeleza khpitia hii huduma ya elim masafa ila sijui pa kuanzia. NISAIDIENI 0743051124
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hivi form six wanahusika katika ku apply dip au ni dip ndo wana aply kwend degreee na je kwa wale form six waliokosa sifa za kwenda degree nin hatima yao ....
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Back
Top Bottom