Habari, wakuu kuna mdogo wangu amefanya malipo M PESA toka Jana 26.07.2016 saa 7.04pm cha ajabu hadi sasa navyojaribu kumfanyia application inagoma nakutania na Ujumbe wa namna hii
Ndugu zangu, Huku Musoma watu wanaendelea kuisoma namba na sasa wanautambua vyema ule wimbo wa ccm hasa kile kibwagizo kisemacho "CCM NI ILE ILE". Wazazi wenye wanafunzi wasomao shule ya sekondari...
Ndugu zangu habarini za sa hizi,mimi ninashida moja hivi kwa nilivyosikia et TCU wanavyopanga grades zinatofautiana na vyuo vingine kwa mfano sisi C inaanzia 50 na wao TCU hawana B+ sisi tunayo...
Jamii Forums naomba msaada kujulishwa tatizo lipo wapi katika kutuma maombi na CAS kila nikijaza voucher namba kutoka TCU inaniletea meseji kwamba the namba inserted ipo invalid. Nimejitahidi sana...
Habari wakuu wangu waheshimiwa sana.
Nina mdogo wangu wa kike kamaliza form six mwaka huu CBG matokeo yake ni DIV III ya 17 with :
GS E
Geog D
Chem S
Bios F
Bam F
Obvoius mpaka hapo hana...
Habari zenu ndugu wana jamiiforum, ningependa kufahamu namna ambavyo ningeweza kutazama majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya kwa ngazi za stashahada na astashahada(2016) bila kupitia...
Habari wakuu,ningependa kuijuia kiundani zaidi programme ambayo najiandaa kuikabili kwa miaka mitatu pale ifm yani banking and finance...kwa wajuzi wa mambo je inacover aspect zipi?? Ni kitu gani...
Habari zenu wakuu
Naomba msaada kuhusu nacte kutokana na kua niliapplay diploma in primary education inanionesha sijachaguliwa lkn ktk vyuo vyote inanionesha ninanafasi nisubiri second selection...
Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna .
asante.
Napenda kuwataarifu kuwa orodha ya wanafunzi waliofaulu CPA imebandikwa kwenye...
wadau nimemaliza bcom-account pale mliman mwaka juzi 2012, sasa nataka nisome CPA kuanzia november mwaka huu, na nasikia kuna syllabus mpya, masomo gani yatanihusu. plz msaada
Ndugu JF naomba kuuliza je udahili ngazi ya cheti bhado upo au kwasasa ni diploma na degree tuu. Ninamdogo angu hakufanya application awamu ya kwanza je kwasasa anaweza kufanya?
Kampala international university(kiu) kinatoa kozi za AFYA kama vile,medicine, pharmace na laboratory kuanzia ngazi ya cheti mpaka degree..., utaratibu wa kudahili wanafunzi ngazi ya cheti na...
Habarini ndugu JF, mm ni mwanafunzi chuo kikuu naingia mwaka wa 3 nasoma Bach in education ya science based only in biology. Matokeo yangu form 6 ya 2014 nilikuwa na B- Biology, D-chemistry na...
Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?
Hello wanaJF,
Naombeni msaada kama yupo anayefahamu ni namna gani 'application for Teacher Education' inafanyika kupitia CAS ya NACTE anisaidie maelekezo, especially orodha ya vyuo vinavyotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.