Habari za jumatatu wadau?
NACTE wametoa matokeo kwa wale walioomba kozi mbalimbali ngazi ya cheti na diploma so naomba wale wote waliochaguliwA NATIONAL METEOROLOGICAL CENTRE tukutane hapa ngazi...
Niwashauri kama huna sifa walizozisema TCU kwenye guide book yao usijisumbue kutupa hela na muda wa kuapply fanya mambo mengine, hii serikali ipo serious sana najua hamtaamini wapo mtakao jaribu...
Nimemaliza diploma ya computer science GPA 4.0 ila form 4 chemistry nilipiga mswaki yani F masomo mengine nina PASS . Sasa hivi nataka niombe TELECOMMUNICATION ENGINEERING Kwenye vyuo kama UDOM...
Natanguliza salam kwa kila member.
Hii thread itahusisha carriers ambazo zina soko la ajira hapa Tanzania pia watu ambao wapo katika hiyo field ni wachache na wanahitajika kwa miaka ya sasa pia...
Jaman wakuu nmekuw nkiwaza san hili suala la wa2 kuiponda UDOM kw mda mref, coz utackia ooh mara hamna cjui;
1. Maji hakuna
2. Walimu vilaza
3. Wanafeli sana
4. Chuo cha CCM
5. Vilaza
6. Wanafunzi...
Mwaka 2015 Ilisemekana kutakuwa na Posho za Walimu wakuu na Waratibu Elimu sasa mpka Leo sioni chochote kinachoendelea au ndo kusema ilikuwa ni gia za kisiasa??? Utekelezaji wa mpango huu upo?
Wadau nina Mpwa wangu alikuwa anasoma PCM amepata Physics C,chemistry C,na Mathematics C genel study E na matokeo ya O-level ana division one ya point 16.
Kwa kweli yeye binafsi hajui asome coz...
Wanajamvi Kuna kitu kinanichanganya kichwa toka jana.
Nimejisajili jana tcu ili nipate kuapply chuo. Nikalipia pesa nikaletewa transaction ID vizuri tu. Nikaji register nikajaza baadhi...
Wadau kwa anayefahamu kuhusu B.Sc.in Bioprocessing and Postharvest Engineering ya pale SUA maana kuna ndugu yangu anataka kuapply lakini nikimuuliza kuhusiana na hiyo kozi maelezo yake anaonyesha...
Habari viongozi....
Kwa wale walio apply NACTE, Hivi mfano unakuta chuo kinatoa certificate ya nursing 2yrs Halafu ada wanaweka 2,100,000/= tusaidiane hapo hiyo ada ni per year au miaka yote...
Ndungu wana jf mm niliaply NACTE coz zifuatazo 1 diploma ya Afya 2 diploma ya education 3 IT ufaulu DIV III 24 CIV CIV D ENG C HIST D GEO D KISW C PHYS F CHEM C BIOS C B/MATH C lakini sijapata...
Nadhani ingekuwa busara kwa serikali kuangalia hizo 3.5 kwa baadhi ya vyuo maana chuo kama DIT mtu kupiga 3.5 diploma masomo yale ni tatizo.
Mtu anapiga course 11 semister 1 na project juu sio...
Habari zenu wakuu
Mwenye mawasiliano ya chuo hiki cha ualimu ninaomba anipatie, maana kwenye web yao hakuna contact zaidi ya email.
Au kwa mtu anaefahamu ada ya chuo hiki inayojumuisha "meals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.