Help, hv nitafaham vp kama nlpata mkopo wkt passwd, transaction ID na suggstn quiz vyote nmevsahau maan nlkuw admtted duce 2015/2016 ila ckwnda ktkna na mattz flan flan na ckuw na acces yoyt ya...
nmesahau password za kulogg in macte ili niangalie nmepata chuo na course apply sasa nmeingia kqenye forgot pasword nkaandika ile email nliojiungia wananiandikia""""""" type Status report
message...
Katika pitapita yanhu leo nimeona baadhi ya taarifa ya chuo kikuu cha Bukoba ambacho kipo Mkoani Bukoba, Ila la Kushangaza ukienda kwenye tume ya vyuo vikuu Tanzania hakuna Chuo Kama hicho wala...
Mimi nimemaliza form six(6) Mwaka Jana 2015 lakini nikitaka kuaply chuo system ya TCU inanikataa naumia sanaa.
Inaandika ""prior admission found""
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Jamani nimeongea na hawa TCU wameniambia kwamba kwa wale wote walio fanya paper kama Private Candidate 2014 suala lao linashughulikiwa na by Ijumaa litakua tayari ndo maana kwenye ku add O-level...
Jamani naomba kusaidiwa,kuna mdogo wangu alituma maombi ya afya na elimu ya msingi kwa upande wa afya hajachaguliwa kulingana na ushindani uliokuwepo lakini kwa upande wa elimu profile yake...
Habari wana JF,
Lengo la uzi huu ni kutoa ushauri tu kwa wale wote jamaa zetu waliokosa sifa za kujiunga na shahada kupitia vigezo vilivyowekwa na TCU. Ushauri wangu ni kuwa sasa ni nafasi pekee...
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne.
Naombeni ushauri, nilipata division three ya 23.
Nilisoma mchepuo wa sayansi na matokeo yangu ni:-
Physics: D
Chemistry: C
Biology: C
Geography: C
History: C...
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka wa 2014 nikiwa na ufaulu kama ufuatao:
Chemistry:B
Biology---:B
English----:B
Mathematics: C
History----: D
Geography: C
Kiswahili--:C
Civics: D
Wanajf mkiwa...
Inasikitisha mpaka sasa hivi watu tuliomaliza diploma na GPA zetu kubwa bado guide book haijatoka wakati TCU wametoa guide book na kuaapply washaanza hivo kufanya sisi wa diploma kutokuwahi kozi...
Jamani hawa TCU wazinguaji maana jana kipindi nalog in niki add o level sitting inagoma. Leo tena wananiambia eti majina ya cheti cha private candidate na school candidate yapo tofauti wakati...
Habarini wakuu....
Hivi awamu hii ambayo NACTE wamefungua udahili ina maana ni kwa wote i mean form four na form six walioshindwa kufikia viwango vya kuchukua degree or...?
Maana mimi nataka...
Habari wadau Mimi nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana nimefanya maombi chuo cha Warwick UK naomba kujua kama kuna mawakala wa hicho chuo humu ndani au kama uliwahi kusoma pale tujuzane mambo...
Habar zenu wakongwe wana wa JF
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2015 na kupata matokeo haya
Civics D
History D
Kiswahili C
English C
Geography D
Biology C
Basic Mathematics F...
Mimi naunga mkono zoezi la serikali kufungia vyuo visivyo na sifa kama ni kweli. Hivyo basi kama matatizo makubwa ya hivi vyuo yalikua ni wahadhiri na miundombinu mibovu basi na Shule zote za...
Ndugu wana JF naamini mu wazima wa afya tele, naomba ushauli ndugu zangu, kuna mdogo wangu amehitimu kidato cha nne mwaka jana kupata ufaulu ufuatao:-
Civis-C
History-C
Kiswahili- D
Geography-D...
NNapenda sana mwakani kwenda kusoma masters in social studies, kama unajua ama una link nzuri ya sholarship basi weka hapa tujalibu kuomba mapema. ASANTE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.