Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nashindwa kulogin profile yangu tafadhali mwenye hiyo link ya CAS,Naomba anisaidie
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari za jumapili wadau, hasa walio soma shule ya AZABOY, nikiwa miongoni mwa walio soma, shule ninaendelea kusikitika kwa matokeo ya shule hii kongwe na ya vipaji ambayo inaelekea sasa kuitwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama unataka kufahamu lolote kuhusu hiki chuo nipo taari kukufahamisha , karibu sana
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unakuta chuo ni cha serikali kabisa alafu ada na michango mingine unalipa kwa Dora (usd ) na bado serikali ndo wakwanza kuwapiga mkwala Kampala international university!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaefaham ada za certificate in clinical officer katika chuo cha DCT MVUMI anijuze tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kati ya DIT , ATC na MUST kipi ni chuo kizuri kwa diploma ya engineering ?!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndg zangu Kuna mdogo wangu namfanyia application za chuo kikuu. Huyu dg alikosa credi tatu o level akaresit akapata C, B, B kwa masomo yote matatu aliyoresit, form six amepata two ya point...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
QUALITY BUSINESS SOLUTIONS CO .LTD kampuni hii inashughulika na uuzaji wa Tally.Erp9 accounting software kwa kuuza Tally.Erp9 kwenye makampuni mengine.Makampuni karibu yote yanayonunua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomben kufahamu utofauti kati ya ordinary diploma na higher diploma na pia kivip baadhi ya kozi huchukua muda wa miaka miwil na nyngne mwaka mmoja..nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
680 Views
mbeya university science and technology hii coz ya ordinary diploma in food in science and technology imekaaje na ajila yake iko vp msaada plz
0 Reactions
0 Replies
917 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) UNAORATIBIWA NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA KUTANGAZWA KWA MAJINA YA WAOMBAJI UDAHILI WALIOCHAGULIWA...
1 Reactions
31 Replies
37K Views
Amani na iwe kwenu wana ukumbi... Hali yote nimshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kuandika hiki. Naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo cha kilimo na mifugo (LITA -TENGERU...
1 Reactions
1 Replies
662 Views
mwanamke wa kuoa anahitajika
0 Reactions
2 Replies
560 Views
Mabadiliko ya Viwango vya kujiunga na Vyuo vikuu Nchini, Je yanaeleweka kwa wadau wote? ITV live Now 21:00
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kuuliza et na post za kujiunga na vyuo vya ualim zimetka au n afya tu
0 Reactions
4 Replies
844 Views
naomba kupata joining instruction coz nimechaguliwa baada ya kutoka udom
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu Habari Zenu! Wakuu Katika GuideBook ya TCU Kuna Kitu Bado Sijakifahamu. Kwa mfano ukiangalia Chuo Kama CUHAS pana Muongozo huu:- Bachelor Of Pharmacy: Tuition Fee: 3,700000 Possible Loan...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi humu? Naomba kuuliza mbona tovuti ya Nacte haifunguki tangia jana, na hata kabla ya jana ilikuwa ni ngumu ku log in na kuangalia application process, tatizo ni nini hapo laweza...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom