Habari za muda huu wandugu? Nimekuja kwenu na jambo moja kwa ushauri zaidi..nimekuwa naona watu wengi wakiongelea kwenda Advance School na wengine kwenda Certificate chuo lakini katika kupitia...
Maisha ya mtaani na yale ya vyuoni ni tofauti sana. wanachuo wengi wakiwa wako chuo huwa kama wamefunikwa blanketi nzito. starehe kibaooo, matanuzi kibaoo, anasakibaoo!
Usipojiwekea akiba na...
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na Nina DEE katika masomo ya HGE, ndoto zangu zilikuwa ni kwenda kuchukua degree ya education lakini kwa mujibu wa TCU mwaka huu sina vigezo. Naomba msaada kwa...
Naomba ufafanuzi juu ya kuomba vyuo!!
Nimemaliza dip mwak 2014 na overall GPA yang ni 3.7. Nishaomba mkopo Loans Board.
Kama nijuavyo kwetu sisi tuliomaliza dip tunafanya maombi kupitia NACTE...
Mnamo mwezi wa tano NACTE walifungua dirisha la Udahili ambapo wanafunzi kadhaa walilipia fedha ya usajili 50000/=. Guidebook waliyoitoa NACTE iliweka GPA 2.7 kama kiwango cha mwisho cha ufaulu...
Hongera kwa mwanafunzi Haika Dismass massawe kutoka shule ya Majengo secondary, kwa kuwa mwanafunzi bora kwa mkoa wa kilimanjaro. Amepata matokeo ya Div 1 point 5, Huku akiwa na A ya hesabu. NI...
Eti naomba kuuliza kama mtu amekosea kuomba mkopo bodi ya mikopo may be amekosea number ya mtihan kuna uwezekano wa kuedit tena? hilo moja na mbili ni kwamba kuomba mkopo kwa mwanafunzi bodi ya...
Kwanza Kabisa Natanguliza Shukurani Zangu Zote Kwa Wadau Wa JF.
Ni Masikitiko Makubwa Kwa Wazanzibari Wanaoshuhudia Elimu Ya Visiwani Zanzibar ikiwa Tayari imeshazikwa Kutokana Na Chuki Za...
Habari zenu wanajamii,
Nashawishika kuuliza hivi kweli inawezekana na ni sheria au ruhusa kwa mtoto kurudishwa nyumbani na kukosa mitihani kwa kuwa mzazi hajalipa ada? Na ikitokea mtoto anekaa...
*TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOTARAJIA KUOMBA SCHOLARSHIP YA ALGERIA*
Ndugu watanzania wenzangu, hivi karibuni lilitolewa tangazo kuhusu maombi ya scholarship ya Algeria...
kama inavojulikana kuwa bajeti ya mikopo ya elimu ya juu huwa inaandaliwa kwa kiwango flani na ufaulu wa wanafunzi umepungua wengi hawatoendelea degree je kuna uwezekano wa non priority course...
Sasa hivi kuna mitihani inaendelea, cha kushangaza vijana wetu baadhi wamelipa ada lakini hawajafanya mitihani kwa sababu mbalimbali za kichuo eti system. Wamepewa ratiba nyingine maana watafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.