Habari wadau,
Naomba kufahamu number sahihi ya national ID kwa sababu sifahamu namba sahihi imeanzia wapi kwenye ile ID.
Zote pande mbili namba zimefanana then zile za mwanzo ni tarehe, mwezi na...
Hapa nafkr wengi nona na mnasikia kuhusu Bachelor degree
Mimi nataka kufahamu,je ni kipi kinacho tofautisha kati ya mtu anayesoma IFM na UDSM mfano Bachelor in Economics?
Au Tofauti ya anayesoma...
Za mihangaiko ndugu zangu
Naomba mnifahamishe ndugu zangu, hivi ni kozi gani ya ufundi ambayo iko vizuri hasa katika utoaji wa ajira?
Je mwezi gani taratibu za fomu zinaanza VETA?
Natanguliza...
Wanajamvi,,,,
Tuliambiwa na serikali kuwa ajira zingekuwa tayari mwezi May.......lakini mpaka sasa ni juma la pili la mwezi Juni laelekea mwisho.
Je, taasisi husika iliamua kudanganya watanzania...
Jamani wadau ambaye ana mawasiliano ya shule hizo anisaidie au kama kuna mtu yeyote anajua seminary nzuri nyeye A- Level kanda ya ziwa anisaidie mawasiliano yake
Jamani selection bado tu? Jaman nimechoka kusubiri, kama kuna mtu anafahamu shule private zenye ada nafuu chini ya laki 9 anishitue. Iwe ina michepuo ya Sayansi
Naombeni kufahamu unapochagua course Kwa bachelor degree course inahitaji pass za masomo mawili ikawa somo Mojawapo Kati ya hayo mawili umelifaulu O.Level lkn A. Level hukulisoma unaweza...
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo...
wanajamvi habari zenu. Leo ninapenda kupatiwa msaada juu ya hii kitu. Kumekuwa kuna ongezeko kubwa la walimu wa masomo ya sanaa. Lakini leo ningependa kuzungumzia juu ya jiografia na kiingereza...
[6/4, 12:15] Eliah: Habari kwa wahitimu wote wa kidato cha sita na wahitimu wote wa stashahada mwaka 2016. Ni dhahiri kumefanyika mabadiliko makubwa Katika bodi ya usajili vyuo vikuu hii...
Wadau wa elimu nipeni ushauri khusu hii facult mpya nchini kwetu TZ mambo ya usalama wa kimtandao(cyber security) kwa ambae labda anilewa vzuri.je inasoko?
kuna ndugu ananiambia facult kama hizi...
Ndugu zangu kwa hizi tetesi ninazozisikia ya kuwa div one na two form six wa mwaka huu ndio wataochaguliwa kwenda elimu juu.
Hivyo endapo jambo hili litafanyika basi form six wa miaka ya nyuma...
Jaman naomba mnijulishe kwa sisi tulomaliza form six mwaka huu tunafanyeje izo application coz wamesema tuambatishe Na certificate ya form Six sasa sisi tulomaliza mwaka huu form six...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.