Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Heshima zenu wana jukwaa, Nahitaji kusoma MBA chuo kikuu huria, OUT, mwenye ufahamu ni jinsi gani natakiwa kuenenda, yaani wanadahili lini, gharama za kozi, muda gani ntachua kumaliza na mambo...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje? au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi..
0 Reactions
2 Replies
3K Views
BACHELOR DEGREE IN HUMAN RESOURCES MANAGEMENT NA BACHELOR OF PUBLIC ADMINISTRATION ????
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kusaidiwa rangi ya jarada la riwaya ya msako na tamthiliya ya masaibu ya ndugu jero
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman wadau kunani huko nacte mana nashangaa mda unazid kwenda hamna updates zozote kweny profile yao. na Wiki yakwanza ya mwez7 ndo imeisha ivyoo. now hatuwaelew wanampango gan??? mweny tetesi...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Jamani nimepangiwa isongole high school wanao ijua vzr jamani msaada nasikia ipo mbea
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Msaada wa haraka kuhusu post form four education mm ni mehitimu kidato cha sita 1992 lakin kila nikijaza index namba yangu kipengele cha post education naambiwa wrong index number naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kama una diploma ualimu G.P.A ya 2.3 unaweza kusoma out na je unaaply wap?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau habari zenu na heri ya Idd. Nimeingia tovuti ya heslb kwa kusudi la kujiandikisha kuomba mkopo.Nimestushwa na yafuatayo: 1.Sura yote ya tovuti haionekani.Kuna kisehemu kama robo tovuti...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
NACTE walitoa Announcement Ya Kuwa Watafungua Tena Dirisha la Kupokea Maombi ya Udahili Kwa Vyuo Vikuu Wiki Ya Mwisho Ya Mwezi wa Sita! Lakini Mpaka Leo hii tarehe 28/06/2016 hakuna Dalili yoyote...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kubadlishana kituo cha kaz, kwa aliyeko moshi arusha manyara na almashaur zake mim nipo almashaur ya musoma
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Eid Mubarak wapendwa... Kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma Bachelor degree chuo kilichopo nje ya Africa. Emaliza comb ya HGE. Je, ni Course gani nzuri yenye soko ambayo anaweza kusomea nje...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nliaply ualim mwak Jana nkachaguliw. but ckuweza kuripot kutokana na some problems. VP mwak huu ntachaguliw? maoni yenu guys#
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Katika viambatanisho vya kwenda bodi ya mikopo unatakiwa kutuma na cheti cha diploma. Sasa mimi nimemaliza mwaka huu so sina cheti,je ntafanyaje ndg msaada wenu tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi, Je? kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye Division III
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Walimu shuleni wanakimbizana kumaliza SILABASI badala ya kumaliza ujinga. Ndio maana utakuta mtoto wa darasa la saba anamaliza hajui kusoma wala kuandika. Wakaguzi wa elimu wao wanakwenda...
2 Reactions
2 Replies
913 Views
Nauliza km ulikosa mkopo mwaka jana ukasoma ivyoivyo ukiomba tena mwaka huu utaomba km continous au utaomba km wanavyoomba wengine fresh
0 Reactions
2 Replies
874 Views
nashindwa kupata join instruction ya kibiti high school kwa mwenye uwezo anisaidie!!!!
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wadau... Mimi nimehitimi kidato cha sita mwaka huu ila mchepuo wa PCB. Ila napata mkanganyiko nichague faculty gani zenye kulipa vizuri baadae. Nisaidieni jamani, Naifaham MD tu... hzo nyingine...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Written by Jakaya Kikwete, Former President of Tanzania Tuesday 5 July 2016 A week, it is said, is a long time in politics. That was certainly the case at the end of last month, when, in a...
2 Reactions
0 Replies
624 Views
Back
Top Bottom