Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wanajamvi habari za humu? Nimeona niwashirikishe hiki kitu kigeni kuwahi kutokea katika maisha yangu toka nazaliwa, nakua mpaka sasa. Labda ni mbinu baada ya mifereji mingi kuonekana kuzibwa! Leo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa jamani kwa anaye jua karo ya imtu coz ya medical doctor yaan MD kwa mwaka ni sh ngapi za kitz pia kuna watu wawili wanataka ku upgred mmoja ni clinical officer CO na mwingine ni...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu wa jukwaa hili habarini, Naomba kuwauliza swali dogo tu linalonitatiza natumaini mtanijibu. Eti inawezekana mtu aliyesoma Sayansi O-level na combination kubalance lakini A-level akasoma arts...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wana jf kuna dogo anahitaji ushauri wa mawazo baada ya kukosa sifa ya kujiunga na kidato cha tano matokeo yake yapo HIVI DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
1. BP-Uingereza 2. Agip-Italia 3. Shell-Udachi(Uholanzi) 4. Statoil-Norway 5. Engen-South Africa 6. Petrobas-Brazil 7. Total-Ufaransa 8. Exxonmobil-Marekani 9. GAPCO-Mauritius N.B: Karibuni kwa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Mimi ni Waziri Mkuu wa serikali ya wanafunzi DIT, Lumola Steven Maziku KAHUMBI. leo nataka nichangie maoni yangu kwa uchache kuhusu TAHLISO yetu, kisha nitaweka wazi mimi nipo katika kundi gani...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Msaada kwa anayejua ada ya lake secondary kwa advance
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jaman wanaJF napenda kufahamu juu ya uwezekano wa mwanafunzi mwaka wa tatu kuomba mkopo HESLB. Je kuna uwezekano wa kuomba na kupata?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wadau??? Mimi ni mwanafunzi wa Advanced level ambaye nachukua mchepuo wa HGL, kitu ambacho nataka kufahamu ni kuwa je kutokana na mchepuo huo naweza kusoma computer science...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
KANUSHO: Serikali yakanusha kuhusu likizo isiyo na Malipo kwa Wanaoenda Kusoma Kumekuwa na waraka unasambazwa mitandaoni uliotolewa ktk halmashauri moja huko Katavi ambao unaeleza kuwa mtumishi...
4 Reactions
23 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu..... Mwenye ufahamu na uzoefu kuhusu shahada/degree ya chuo kikuu huria inayotolewa. Je inagharimu shilingi ngapi kwa mwaka pia kwa kwa jumla mpaka unamaliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NDUGU; Wana jf naomba munisaidie kunijuza kama maombi ya vyuo kwa wale walomaliza o-level kama yameshatolewa Na km yametolewa yametolewa lini au yatatolewa lin??? Please help me Thanx[emoji120]...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kuapply naona kila ni kiclick sehemu iliyo andikwa click here to apply haifunguki.. nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli nimeumia kusikia degree ni division 1 na 2 pekee, 3 inakuaje? Anaefahamu zaidi atueleweshe
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Jamani mimi ni muhitimu chuo kikuu cha kikatoli cha Ruaha katika fani ya Elimu 2012 kwa sasa ni mwalimu nimeajiriwa. Kutokana na challenge za maisha niliyoishi na ualimu kwa miaka hii minne...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Are expenses such as insurance, wages&salaries, motor expenses included in the calculation of V.A.T? and when expenses are standard rated what is their meaning on vat calculation,, I will be...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
natafuta shule ya privet A-level nzur mkoa mbeya au morogoro mchepuo wa sayansi PCB na ada ake plz nisaidien...
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Kama unaijua shule yoyote ya Advance ya boarding iliopo kati ya Pwani ama Dar yenye ada isiyozid Mil 3 yenye miundombinu mizuri kwa michepuo ya Science naomba unifaamishe.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijuze. Nimesikia kwamba kunakufutiwa matokeo ya masomo mtu aliyofaulu awali (aliyo record) NBAA endapo utashindwa kukamilisha kupata CPA (T) ndani ya miaka mitatu. Yaani mfano...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari. Naona jukwaa lipo Busy na HESLB ila tusisahau na mambo ya Scholarship. SINGAPORE Training Cooperation wametoa Scholarship ya Short courses kwa Watanzania Watumishi wa Uma. Maelezo jinsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom