Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanajanvi, Natumaini hamjambo na mmeamka salama.Nimejitahidi kutafuta contact za St.Clara girls Secondary School sijafanikiwa. Mdogo wangu anamaliza la saba this year nahitaji kumuombea pale kwa...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hivi jamani nikimbilie wapi nikapate msaada ili nipate mshahara kama wenzangu? Halmashauri nimeenda sana wanasema si kosa lao idara kuu ya utumishi ndio wanaosababisha nisipate mshahara mpaka leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu na jamaa waliomaliza form four mwaka jana na wakachaguliwa ualimu UDOM wanaripoti lini?
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Naomba msaada wa yoyote anaeweza kunisaidia msaada wa join instruction ya Dakawa secondary school kwa Form 5, au gharama halisi zinazotakiwa. Asanteni
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Wakuu nipo Sumbawanga kwa muda huu, juzi nimetoka nilimpeleka mdogo wangu shule (amepangiwa Mambwe sec school) ila kwa kweli mazingira hayaridhishi kabisa, hakuna walimu na umeme pia hakuna, sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa mwongozo wakuu, napenda kufanyia hasa Uganda, pia gharama yake, Ahsanteni wadau. N:B pia naomba tujadili hata vyuo vya hapa nyumbani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwalim shule ya sekondari Milambo Itobo nimehamishiwa Igirubi sekondari naomba kujua stahiki zangu kama mtumishi, Je Nni stahiki zipi ambazo ninatakiwa nilipwe?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nipo hapa cafe na apply chuo kila napoandika passord inaniambia haipo. Nimekosea kujaza namba ya mtihani TCU nikilipa kwa mara ya pili itawezekana wakuu Msaada tafadhali
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani mwenye tarifa za pesa za field tujuzane maana wengine tupo vijijin na hadi sasa hatujapata pesa za field na loarn board walikua hawajatuingizia hadi kufikia tar 20/ mwez huu sasa sijui kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mimi nimesoma degree ya kwanza elimu. nilitaka kusoma masters ya elimu pale UDSM na nasikia ada nikama million kumi. Vipi kunafaida ntaipata ili kurudisha pesa zangu? mshahara wangu utaongezeka...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Yeyote anaifaham ipo arusha sehem gani? na mzingira yake! Mdogo wangu amechaguliwa huko!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani mimi katika application za kuomba chuo niliamua kwenda kufanyia stationery kwa wazoefu but nikaambiwa katika kumbukumbu number niweke ile number ya form four ya kuanzia s...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Za mchana wakuu na wanajamvi kwa ujumla. Nina shida na nnaimani mtanipa ushirikiano katika kutatua shida hii. Ni hivi mwaka huu nimeomba vyuo kwa Mara ya pili na masharti yoote ya kuandika barua...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Jaman naombeni kama Kuna mwenye joining instruction biharamulo secondary anitumie kweny email yangu ya Mkilindi76@gmail.com au anibip kwenye no yangu ya 0719817920 Nitamtafuta anijuze japo Ada...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
nina marks zifuatazo history c,civics d, geography d, maths f, biology b, kiswahili d, english d ya mwaka 2007 na nikarudia mtihani mwaka 2008 na nikapata kiswahili d, civics f, geography c...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Phone1. +255 684 191194 Phone 2: +255 763 037852 Phone 3: +255 784 477 968 e-mail: royonacollege@gmail.com ROYONA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES Nyegezi area...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
tuliambiwa kuwa majina yatatolewa tarehe 25 mwez huu mpaka sa hizi kimya kuna yeyote mwenye fununu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Naombeni ushauri.mpaka leo sijaruhusiwa kufanya alication upya na naona vyuo vinazidi kujaa na mda ndo unayoyoma.nilipeleka barua tangia mwezi wa nne mpaka leo haijafanyiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jaman mwenye ujuzi mzuri juu ya scholarship kuanzia ngazi ya diploma mpaka degree anisaidie jinsi ya kupata maana naangaika kwenye mtandao naona sielew tu naitaj ya nchi yoyote ile
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…