Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naombeni msaada mimi nilimaliza kidato cha nne na kusoma ualimu grade a na kujiunga na foundation ya open na kufaulu nataka nisome chuo kingine bachelour of science nitapata cnuo gani naombeni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi naanza hivi.. It all begins with a commitment to remove the blinders that most of us have placed upon our worldview and seek out the truth. The truth become clear as you go deeper into your...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Nimeambiwa kuwa unaweza kuapply kwa vyuo vingine kupitia Nacte ambao wanatoa hiyo kozi, ila nimejaribu fuatilia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kozi na nikitaka ni'download application guide for...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Dit
jaman nataka kujua iv mtu anayemalza diploma ya engineering DIT anaajiliwa moja kwa moja au mpaka ujitafutie kazi mwenyewe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mhitim wa kidato cha sita mwaka huu mchepuo hge na nimefaulu vizuli. tatizo Mtihan wa formfour nilifanya malambili yani nili reseat kuongezea credit jana katika kujaza chuo nilipo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu walimu na wakufunzi wa shule za sekondari na vyuo tulioajiriwa 2011, tupeane machache hapa kuhusu hatma yetu ya kupanda madaraja kadiri ya taratibu za kiutumishi ndani ya Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Wandugu naomba mawasiliano au taratibu za kujiunga na chuo hiki so far intake yao lin dogo anasumbua sana?
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Kuna mdogo wangu kamaliza Kidato Cha Sita Mwaka Huu Na Matokeo Yake Yalikuwa GEOGRAPHY-B+ ECONOMICS-B+ na ADVANCED MATHEMATICS-B+, dogo kapendekeza machaguo yafuatayo 1.ACTUARIAL SCIENCE-UDSM...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
1.petroleun engineering-udom 2.civil eng-udsm 3.electrical-udsm 4.telecommunication-udsm 5.architecture-ardhi naomba ushauri wenu juu ya chaguzi hizi za vyuo..... nina Physics-B...
0 Reactions
5 Replies
952 Views
Waungwana habari zenu..nina Ndugu yangu amepatwa na tatizo katika suala zima la kufanya application za vyuo yeye ana Diploma na anataka kujiongeza kuelekea kwenye degree courses Sasa tangu tar...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 21.. Kwaiyo kwa heshima na taadhima ningeomba uitikie pale unapostahili, Kwa wakubwa zangu shikamooni.....na wenye rika langu au wadogo zangu habari ya sasa..!! nilimaliza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tcu
Jaman how are you, ukishalipa(50,000/= TCU CAS kwa ajil ya kuomba vyuo) kuna vocha unapewa mimi najaribu kuitumia bila mafanikio na marafiki wanasema wametumia namba ya uthibitsho, vipi wakuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman, mim ni mgen humu but nafahamu humu ni sehem pekee ya kutatua matatizo ya kielimu, hapa nyumban kuna bint kamaliza form four this year na anataka kwenda chuo, so hatufaham procedures za...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Nimeona tangazo kwene.group la whatsap kwamba NACTE wametoa tangazo kua mwene.D ya Biology na D zingne tatu ataruhusiwa kusoma hyo course kwa mwaka mmoja alaf anaajiriwa...NAOMBA MSAADA KWA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu walimu wote tanzania! Hongereni kwa kazi ya ujenzi wa taifa hususani katika kukuza vijana kitaaluma na maadili bora. Aidha niwape pongezi kwa uvumilivu wenu maana mmechagua kazi yenye...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina principal moja ya kiswahili na subsidiary moja ya history na mengine ni F(HGK) kama hapo napaswa nikasomee kipi ambacho kitanifaa na kupata kazi kwa urahisi naombeni ushauri wenu.....
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Habari wana jamvi? Kwa yeyote mweye contats za taasisi au chuo chochote kinachotoa short training katika mambo ya oil na gas itakayo mwandaa kijana tayari kwa soko la ajira hapa nchini...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari yenu nyote, Naomba kupewa taarifa toka kwa yeyote anayefahamu. Uhamisho wa watumishi wa serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (walimu n.k) ni lini? Nawasilisha. Wasaalam, Mwanajamvi.
0 Reactions
61 Replies
18K Views
Habari wakuu, Nina shida ya kupata ufahamu wa lugha tajwa hapo juu,naomba maelekezo ya centre ambazo wanafundisha kwa hapa Dar ikiwezekana na direction zake na mawasiliano pia. Nawasilisha. Asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na hii pia baadhi yaWalimu wapya wakosa mishahara tangu waajiriwe harmashauri kama biharamulo je nani alaumiwe? kosa nini?tunatesekaa serikali ituonee huruma jamani tutakufaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom