Poleni na majukumu ndugu zangu.
Naombeni ushauri wa mawazo ya nini cha kufanya au wapi pa kuanzia, kuna mdogo wangu mtoto wa Shangazi yangu, amemaliza form 4 Mzumbe na kubahatika kufaulu kwa...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 20 nilimaliza form four 2013 namshukuru mungu nilifaulu na kupata division one.
Nilipokuwa naanza form 5 quarter ya kwanza shuleni nilisumbuliwa na magonjwa fulani...
Fore all those who are interested in the field of Agricultural Economics and Agribusiness; You are kindly welcomed to join The Tanzania Agricultural Economics and Agribusiness Association...
Nahitaji, ziwe za physics, pure mathematics na chemistry a'level
Pia kwa ajili ya faida ya wengine waweza kuweka hata za masomo mengine ya a'level na o'level pia.
Muwe na Siku njema!
Habari zenu wadau,
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii ya leo tena.
Mada ambayo napenda kuiongelea hapa ni kuhusu vijana wote waliokosa nafasi za kuchaguliwa kujiunga na kidato cha...
Mimi ni Mzanzibar naomba mnisaidie vipi naweza kupeleka barua za maombi ya ualimu kwani mimi ni mgeni sijui pa kuanzia na huku kwetu kazi ni tabu sana nishahangaika hadi nimechoka.
Naomba...
Wadau nina rafiki yangu hapa tunasota nae kitaa ye ana miaka 3 ana mdogo wake yupo form three mchepuo wa art leo amegoma kwenda shule amemwambia kuwa kama kaka yake amemaliza chuo kikuu akiwa...
Nimesikia eti wale wenye division four ya 32 mwaka 2013 yenye credit tatu walioko form six wanasajiliwa kama private candidate mweye ukweli was hili naomba anifahamishe
Yaan kuna jamaa wapo hapo help desk wanakosa weledi kabisa..... Wakat mwngne huwa nahis ndo madhara ya kupeana kazi kwa kujuana..........hawana lugha nzur pia kuna mmoja huyo anavyoongea utafikir...
niaje asee...hivi taratib za kununua vi2 ebay au amazon na kuweka adress za chuo ili bidhaa yako waifikishe hapo(e.g udsm,ardhi etc) ni salama?na unaweza ukaipata bidhaa yako kweli au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.