Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau wa jamvi hili, habari zenu? Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa hili tatizo langu la kimahesabu--mwenzenu sipo vizuri sana kwenye hesabu ila nina imani kuwa hapa kuna wadau wanaoweza kunipa...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
mwenye mawasiliano au joining instruction ata kama n ya mwaka jana ya rugambwa girls high school naomba anisaidie namba yangu n 0717901699
0 Reactions
0 Replies
3K Views
udsm baada ya kuona wanatumia billions kuwalipa Ardhi university's Architects na quantity surveyors kudesign majengo na kufanya quantity estimation ya ujenzivwa majengo yao wameamua kuanzisha hizi...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Nili apply chuo 2012 nikachaguliwa Tumaini University na sikuenda kusoma. Sasa hivi nataka ku apply chuo tena inakataa wapi naweza pata msaada.
0 Reactions
1 Replies
851 Views
HELLO! GUYS Dada yangu amemaliza secondary 2005 na kwenda A level, baada ya hapo alisoma cheti(2010) cha account katika chuoo cha IAA Arusha,, since hapo akusoma tena kitu kingine, now it's...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametanda chuo kikuu cha SEKOMU, kuzuia wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao wanadai pesa yao ya tahadhari(caution money) pesa ambayo chuo kinadai kukata kiasi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Call for Applications for Admission into Higher Education Institutions through the Central Admission System (CAS) for academic year 2015/2016 Tanzania Commission for Universities (TCU) in...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council. Je ufanisi wao upoje? Sawa najua kuelewa ni juhudi za mwanafunzi lakin na walimu wanachangia, any idea ya hapo nataka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili Naomba msaada wa maswali ya Entrepreneurship kutoka chuo tajwa hapo juu kwenye mada, yawe ya Final exams or Internal test/Seminar questions, nina shida nayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman wanajamv habarn na polen na majukum. Naomba kujuzwa kuhusu kdato cha sita wa mwaka huu ambao matokeo yao yametoka iv punde kwa wale wanaotaka kujiunga na ualimu wa diploma au stashahada...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Mwenye uelewa tafadhari,ukipata scholarship kusoma nchi fulani mfano degree ya kwanza unalipiwa nini na kujilipia nini?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Samahani wadau kwa yeyote anaeifahamu shule hii, je wanatoa michepuo ya sayansi PCM,CBG kwa kidato cha tano? Nimejaribu kuangalia ktk mtandao sioni hiyo shule kwa mwaka ktk matokeo ya mwaka huu S...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Habari za wakati wana jamii forrum............. ST. JOSEPH arusha campus ni moja ya vyuo vikuu. Kiko nje kdg ya jiji la arusha. Chuo kinatoa degree ya education {science]. Kilifunguliwa rasmi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari yenu,taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo ni KWAMBA HAKUTAKUWA NA MDA WA KUOMBA MKOPO TENA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA DIPLOMA YA UALIMU UDOM,WAKATI TANGAZO LA KUOMBA MAFUNZO...
1 Reactions
13 Replies
16K Views
Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti, Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education. Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu? Tusaidiane.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau wa elimu? Niwapongezeni wote mlioweza kupata nafasi za kujiunga na vidato vya juu vya elimu ya Tanzania. Mkononi hapa nina scientific calculators 2, fx 991, nimezitumia kwa...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Niko hapa kwa ajili ya kuongelea kidogo Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, labda wadau humu ndani mnaweza kutoa majibu kwa maswali ya wanachuo wengi wa chuo hicho hasa cha Arusha. Ni takriban miaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampasi ya Arusha ya Chuo Kikuu cha Mtakakatifu Agustino yafungwa kwa mda usio julikana kutokana na wanafunzi kugomea attendence.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie kujua maana hasa ya DISTINCTION, CREDIT na PASS. Nina mdogo wangu amemaliza Ualimu na tunajaribu kupata maana ya ufaulu uliowekwa imekuwa ni shiiiida tu. Matokeo ya...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wandungu naomba kujua hili.. Kama mtu ulishawahi kupewa mkopo wa elimu ya juu na bodi ya mikopo na sasa unataka kusoma degree nyingine tofauti Je unaweza kuomba mkopo bodi ya mkopo na ukapewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom