Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tuliohama kutoka chuo kimoja kwenda kingine kuna ambao tayar wameshapata mkopo?
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Naamini mko poa wana jf.. mimi ni mwanafunzi nipo kidato cha sita, Naomba anayejua hatua za kubadilisha jina anisaidie kwani hli ninalotumia nilipewa nilporudia darasa la tano, natanguliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajukwaa,kwa anayeifahamu shule ya Nia iliyopo Morogoro maeneo ya nane nane anijulishe taarifa hizi:- 1.shule imesajiliwa au ndio ipo kinagumashi?! 2.kiwango cha ufaulu kipoje kwa mitihani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya 2015, baada ya kukaa kimya mda mrefu sasa nimerejea kwa kasi kasi ya ajabu, nitakuwa tofauti sana na mwaka uliopita. nitasoma maada zote za wadau na nitauliza maswali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF naomba kuuliza, ninasoma mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha .Nataka niombe chuo kingine mwaka huu. Je nifuate hatua gani ili nitakapochaguliwa sehemu nyingine nipate na mkopo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Happy sunday basic maths most welcome to enjoy additional maths
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari yenu wana JF,Mimi nasoma EGM Pale KAHORORO BOYS,Ndoto zangu ni kusoma hesabu na computer. Swali langu: je, endapo nikifaulu vizuri advanced mathematics,nikachagulia kujiunga na chuo kikuu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naombeni mnisaidie niweze kujua ili kupata maamuzi sahihi, nashukuruni wote mtakaonisaidia.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote mwenye mawasliano ya moja kwa moja loyola high school iliopo mabibo farasi iwe ni mwalimu mkuu,mwl wa kawaida au hata mwanafunzi pia hata akijitokeza mwanafunzi wa pale nimuulize...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hatimaye nguvu ya umma immemshinda mutabuzi,kasimamishwa kazi na naibu waziri wa elimu!uchunguzi unaendelea
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Ndugu zangu, naomba usaidizi. Kulikuwa na tetesi wakati fulani eti viongozi wa Tanzania walikuwa na nia ya kuanzisha mfumo wa kutumia kiingereza kama medium of instruction katika shule za msingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na kichwa cha habari hapo juu,mm ni mwanachuo wa chuo fulan hapa TZ,nachukua degree ya elimu(UALIMU) nimekosa mkopo na mm ndo nahangaika mwenyewe huku na huku ili niweze kupata university...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wasaaalamu wakuuu... nimepata taarifa zisizo rasmi katika likizo hii kuwa kuanzia January mwaka 2015 wakuu Wa shule wote ambao hawana degree wanatakiwa watolewe wawekwe wenye degree je kuna...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wadau mnisaidie hvi kwa kawaida matokeo ya VETA CBA yanatoka mwezi wa ngapi?
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Baraza la mitihani la Tanzania NECTA linatarajia kuanza kutumia mfumo mpya wa upangaji matokeo ya mitihani ya mwisho yaani FE kuanzia mitihani itakayofanyika NOVEMBER,2014 na kidato cha sita...
1 Reactions
28 Replies
38K Views
Nafundisha masomo tajwa hapo juu kwa O level kwa full au part time maeneo ya Morogoro mjini na maeneo ya jiran pia kama vile mzumbe,mikese,kingolwira etc. Contact: 0684606935
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Udhamini (scholarships) ni zawadi hivyo mtu akipata hana jukumu la kuilipa , Duniani kuna aina mbalimbali za udhamini zaidi ya maelfu kwa maelfu , zikitolewa kwa vigezo mbalimbali kama vile Watu...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Mimi ni mwalimu ambaye nina ujuzi wa kufundisha kwa umakini practicals za chemistry kwa shule yenye uitaji wa mwalimu unaweza wasiliana na mimi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zaidi ya wanafunzi elfu 28 (28,000)wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu kukosa mkopo. Hizi ni taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo. Sasa je! wanafunzi hawa elfu 28 wote wataweza...
1 Reactions
77 Replies
10K Views
Wadau naomba kujuzwa kama kunataasisi inayodhamini masomo ya ngazi ya udhamiri kwa wanafunzi wanao taka kusoma kozi za linguistics hapa nchini hata kama ni kwa mwaka mmoja Nina GPA ya 3.9 from...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…