Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hallo Wana Jamii forums, Naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua chuo cha walimu wa chekechea wilaya ya Temeke au Ilala (maeneo ya Buguruni hadi Pugu) Asanteni
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Ufaulu: form six 2008 results> history-d eng-s geo-e gs-s
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu mkuu shule ya msingi kamanga Bw.Lucas Nicolaus(Pichani) iliyoko wilaya ya chato amekabidhiwa zawadi ya kinyago cha kutisha (kina sura ya mtu zoba /mburura) baada ya shule yake kuburuza...
4 Reactions
37 Replies
11K Views
wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa majina ya waombaji mkopo ambao fomu zao zina makosa mbali mbali ikiwemo kukosekana kwa picha ya mwombaji,sahihi,mihuri na kadhalika Kuyapata majina tembelea...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Ndugu zangu wana JF, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm Form 6 mwaka jana (PCM, matokeo mazuri ila...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Je kuna uwezekano wa mtu kujiunga na chuo cha uuguzi bila kupitia NACTE central admission system? nimechaguliwa chuo cha private kupitia mfumo wa pamoja wa udahili NOAS ila sijakipenda chuo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)? Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Muhimbili University of Health and Allied Science ni miongoni mwa vyuo vinavy oheshimika hapa Nchini na nje ya Nchi, kiasi kwamba kuna wanafunzi wanatoka Nchi za nje na kuja kusoma hapo, mfano...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu Naomba mnijuze eti wana kozi yeyote ya uhandisi? Kama ipo ni zipi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A private tutor for children is looking for a job (standard 4 to form 2) he teaches english language, computer and mathematics tshs 75,000/= per one subject per month,monday to friday call him...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
kwa anaejua kuhusu almanac kubadilishwa hasa kwa ratiba ya supplimentary atujuze kwa faida ya wote.....??
0 Reactions
11 Replies
12K Views
DEGREE CONCERNED 1.SUPPLEMENTARY Exams tarehe 20/10/2014-25/10/2014 2.Registration 25/10/2014-08/11/2014 START OF semister 1 27/10/2014-08/02/2015 4:END EXAMS 09/02/2015-21/02/2015...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Idara ya elimu msingi acheni kuwabania walimu kujiendeleza.ndugu waziri mwenye dhamana tusaidie maafisa wanatubania wakati vigezo tunavyo.kwenye kozi za muda mfupi wanaturuhusu lakini kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na vipi izo course upande wa ajira?
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Wana Jamvi Kama una swali Lolote kuhusu library niulize nikujibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nimemaliza f6 mwaka huu na nilipata physics D, Math D, na chemistry D. Nataka ushauri natakakufanya application ila nipenda kwenda kusoma Civil engineering. Je nichuo kipi kizuri naweza...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habar zenu jaman... Naomba kujuzwa kuhusu hii coz ya insurance ya IFM..ni nzuri? unaweza ukaja kua nani hapo badae ,changamoto pia,inahusu nini, JE NI NZURI KULIKO HII YA NIT YA TRANSPORT AND...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hivi ni kwa nini mwalimu anayefundisha chuo cha ualimu ,kwa mfano aliyemaliza degree aanze na mshahara wa TGTS E wakati yule wa sekondari aanze na TGTS D? Kama kigezo ni kufundisha chuo, mbona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom