Hallo Wana Jamii forums,
Naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua chuo cha walimu wa chekechea wilaya ya Temeke au Ilala (maeneo ya Buguruni hadi Pugu)
Asanteni
Mwalimu mkuu shule ya msingi kamanga Bw.Lucas Nicolaus(Pichani) iliyoko wilaya ya chato amekabidhiwa zawadi ya kinyago cha kutisha (kina sura ya mtu zoba /mburura) baada ya shule yake kuburuza...
wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je...
Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa majina ya waombaji mkopo ambao fomu zao zina makosa mbali mbali ikiwemo kukosekana kwa picha ya mwombaji,sahihi,mihuri na kadhalika
Kuyapata majina tembelea...
Ndugu zangu wana JF, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm Form 6 mwaka jana (PCM, matokeo mazuri ila...
Je kuna uwezekano wa mtu kujiunga na chuo cha uuguzi bila kupitia NACTE central admission system? nimechaguliwa chuo cha private kupitia mfumo wa pamoja wa udahili NOAS ila sijakipenda chuo...
Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)?
Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja...
Muhimbili University of Health and Allied Science ni miongoni mwa vyuo vinavy oheshimika hapa Nchini na nje ya Nchi, kiasi kwamba kuna wanafunzi wanatoka Nchi za nje na kuja kusoma hapo, mfano...
A private tutor for children is looking for a job (standard 4 to form 2)
he teaches english language, computer and mathematics tshs 75,000/= per one subject per month,monday to friday call him...
Idara ya elimu msingi acheni kuwabania walimu kujiendeleza.ndugu waziri mwenye dhamana tusaidie maafisa wanatubania wakati vigezo tunavyo.kwenye kozi za muda mfupi wanaturuhusu lakini kuchukua...
Mimi nimemaliza f6 mwaka huu na nilipata physics D, Math D, na chemistry D. Nataka ushauri natakakufanya application ila nipenda kwenda kusoma Civil engineering. Je nichuo kipi kizuri naweza...
Habar zenu jaman...
Naomba kujuzwa kuhusu hii coz ya insurance ya IFM..ni nzuri? unaweza ukaja kua nani hapo badae ,changamoto pia,inahusu nini,
JE NI NZURI KULIKO HII YA NIT YA TRANSPORT AND...
Hivi ni kwa nini mwalimu anayefundisha chuo cha ualimu ,kwa mfano aliyemaliza degree aanze na mshahara wa TGTS E wakati yule wa sekondari aanze na TGTS D? Kama kigezo ni kufundisha chuo, mbona...