Wasalaam WaKuu,
Napata Mkanganyiko Kidogo Kuhusu Masomo Anayopaswa Kufanya Mtu Aliyesoma Digrii Ya Uhasibu,
Je,Anaanzia Intermidiate Stage Au Final Stage??
Mwenye Kujua Aniondoe Kwenye Hiki...
mimi navyoona hatukupaswa kutoa sarafu ya shilingi 500, kama kigezo ni kuwa noti inachakaa kwanini tusingeimarisha hiyo noti kwa kuchapicha noti ya 500 yenye ubora???? ebu wadau mliosoma changieni...
mimi navyoona hatukupaswa kutoa sarafu ya shilingi 500, kama kigezo ni kuwa noti inachakaa kwanini tusingeimarisha hiyo noti kwa kuchapicha noti ya 500 yenye ubora????
Jamani naomba msaada wenu kuna binti yangu amechaguliwa form Five HGK, kwenda shule ya Kiwele.Lakini nimefuatilia nimeambiwa kuna Kiwele mbili moja ipo Iringa na Nyingine Tabora. nimeshindwa kujua...
Khabari zenu! Nimelazimika kuanzisha uzi mwingine almuradi tu kama ntapata mwitikio Maana Juhudi zangu hazipati sululu. Jamani naomba ntumieni Joining Instruction ya Ndanda tafadhali wapendwa...
Wanajf habari zenu?
Nafahamu humu wengi ni wasomi na pia wameelimika vyakutosha kiasi ambacho kinawawezesha waishi maishi ama wayapendayo ama wasioyapenda.
Vijana wengi wamekua wakifanaya maamuzi...
Msaada wana jf mimi nilipenda sana kuomba maombi ya vyuo vya afya tangu mwezi mei, sasa kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo wa familia hatimae nilikosa hela ya maombi ambayo ni sh.30000...
IKIWA KUMWONA DAKTARI HOSPITAL NI SH. 5000 HADI 10000/ kugonga muhuri mahakamani 5000/ BASI KUANZIA SASA HATA SHULENI Pia KumuonaMWL MKUU AU MKUU WA SHULE ni Tsh.5000 hadi , 10000/, MTAALUMA ni...