Naombeni msaada jamani, dada yangu amechaguliwa kidato cha tano Loreza Sec-Mbeya, hatujapata joining instruction naomba kujua mahitaji ya muhimu na aina ya sare ili nimuandalie. Naombeni msaada huo.
Wana JF, Salaam. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kupata joining instruction ya shule tajwa hapo juu anisaidie. Pia kama kuna mwenye contact za mkuu wa shule hiyo naomba anipatie.Nasikia ni shule...
Kwa wale statistician ,naomba mnijuze what is the ideal decimal places for correlation values especially r,can i write all significant figures as they appear in calculator!
Karibu msomaji wa AMKA MTANZANIA kwenye kipengele hiki cha ushauri kwa wahitimu. Kupitia kipengele hiki tunatoa ushauri kwa wahitimu ambao ndio wanaingia mtaani, ushauri huu unawafaa hata...
Hebu jionee mwenyewe nyongeza ya mishahara ya walimu kuanzia july mosi,TGTSA=355200 ni sawa 20%,TGTSB=578683 sawa 17%,TGTSC=745780 sawa 15%,TGTSD=963254 sawa 13%,TGTSE=1120657 sawa...
Serikali mpaka sasa imesha tangaza ajira za walimu kwa awamu tatu lakini kuna walimu walio ajiriwa awamu ya kwanza mpaka sasa awajapata mishahara yao.
Mfano wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro...
UDSM, DUCE, MUCE, wasainishwa ili wasigome na wameondoka huku wengine wakikwama dar kwa kukosa nauli.Baadhi ya kozi wameanza field leo ila hakuna pesa...poleni sana vijana wetu hii ndio serikali...
Habarini ndugu zangu...
Nahitaji kujiendeleza na masomo, kusoma master's mimi nina degree ya kwanza ya accounts na ninahitaji sana kuendelea na degree ya pili na sina idea degree ipi ya pili...
Walimu jikomboeni kwa hii taarifa mpya ya marekebisho ya katiba cwt.. Msisahau kuweka mabo haya..
1.kuwe na fao baada ya kustaafu mana unatoa makato mengi.
2. Kuwe na hiyari ya mwalimu kujiunga...
Wakuu naombeni msada kwa anayefaham ju ya tulioachwa kuchaguliwa kwenda kusoma advanc ambapo 2mefaulu kwa kiwango cha daraja la tatu,wanatupeleka wapi? Naomba explanation ju ya hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.