Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kujuzwa jamani kama HESLB safari hii watakuwa na awamu ya pili ya maombi ya mikopo 2014/15
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamani wadau wa CPA(T), naona kama NBAA wameyumba kidogo, kwani kwenye new conversion simplified Mtu anayedaiwa P15 ya Module E na Module F hakufaulu, atafanya kwenye syllabus mpya Corporate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naomba kuelimishwa kidogo kupitia swali lifuatalo: Kuna uwezekano wa mtu kufanya Phd bila kupitia Masters? Na kama jibu ni ndio ni katika mazingira gani hasa? Nauliza hivi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau nauliza ni shule zipi za serikali za sekondari zinafundisha masomo ya compyuta na ipo wilaya ipi, kama unaijua maeneo ya kawe, tegeta , mbezi kimara , mwenge naomba tujuzane wadau wa elimu.
0 Reactions
0 Replies
953 Views
HABARI ZA LEO WAKUU!!!!!!! SAMAHANI KAMA KUNA MTU ANAJUA ZAIDI KUHUSU HII SITE YA wapka.mobi ATUELEZE KWA UFUPI IS IT SCAM SITE OR NOT.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam sana wapendwa! Nimeangaika kufanya registration ya undergraduate on line kwa equivalent zangu lakini mtandao unasumbua sana na muda ndo umekwisha hivo. Nimekwisha lipia 50,000/= kwa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
me ni mwanafunzi wa kidato cha tano na nachukua PCM,ningependa mnishauri kati ya computer engineering na civil engineering ipi inamata kwa hapa tanzania kwani napenda xana engineering hz mbili
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Tafadhari naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu vizuri hii Kampuni inayojiita A & M FREIGHT LIMITED na Dr. Amy Aliku mwenye No.0769 014 953 anayedai kuwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo hapo...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Me nikijana elimu yangu diploma hila nimefanikiwa kupata kazi hila hiyo kazi nnatoka muda mbaya sana siku umetoka mapema saa 4 usiku,tatizo linakuja nnataka kujiendeleza kielimu kwa course ambazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kama wizara imeshatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya cheti ualimu daraja IIIA ,kwani niliomba.mwenye taarifa naomba anijuze tafadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni kupata Mawasiliano ya Mpitimbi secondary Songea
0 Reactions
0 Replies
583 Views
jaman naomben kwa yeyote anaejua details za bagamoyo xul anijuze
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari za kazi wanawajf.Mimi ni mwalimu natafuta kazi ya kufundisha masomo ya biol na chem olevel na Alevel.Asante.0769 713247
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hello wana jf. mimi nimemaliza form 4 mwaka jana. matokeo yangu ni mazuri nna dvn 1.11 na AAA PCM. nilichagua tech colleg(DIT) first choice.nadhani engineer aliyesoma diploma halafu BA ni safi...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
weka tovuti ya shule unayoijua ya serikali tu. Naanza huyu mkubwa wao Ilboru Secondary School
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naombeni anaejua ni shule gani nzuri ya primary kwa wilaya kinondoni ila iwe ya serikali nina mtoto anafikisha miaka 6 next year nataka ajiunge
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hv kitabu cha TCU GUIDE naweza kukipata wap?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BUTERE KENYA. TUTOE ELIMU HAPA JF, KILA MTU NA TALUUMA YAKE. YANGU NI SEKTA YA UTAALAMU WA KILIMO. KILA SIKU MASHINDANO YASIOLETA NATIJA KWA WANAJF.
1 Reactions
0 Replies
791 Views
Jaman wana jf naomben sana ushaur wenu kati ya hizo kombination mbili ipi n bora ambayo mnanishauri nikaisome a-level.Katka kuchagua nilianza na egm lakn bado na wasiwas wa kusoma kombi hyo naomba...
0 Reactions
79 Replies
42K Views
karibuni sana me kwa jina naitwa Simon ndo naingia form6 pale nko hgl.... .:A S 11::cool2:
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom