Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jamani ipi bora kati ya kusoma technical college then high education na advance then high education?
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Kwa wale wa must mnaweza pata joining hapa:shetani:
0 Reactions
5 Replies
8K Views
HELLOW GUYS, mwenye taarifa na hiyo workshop inafanyika lini baada ya matokeo ya mwezi wa tano... nimechek kwenye website yao lakini naona hawajaweka hiyo download, wameweka link tu ila file...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni kuuliza hivi ni mwezi gani wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Three scholarships are awarded each year to candidates who demonstrate leadership understanding through an essay competition. Number of scholarships Three Amount...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Naomba kuuliza kwa yoyote anayejua kama walioomba nafasi za vyuo vya ualimu certificate majina yametoka,kwani niliomba .
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Chuo cha udaktari cha KCMC kijulikanacho kama Kilimanjaro Christian Medical University College kimeongeza ada ya mafunzo(Tuition fee) bila idhini ya TCU.TCU ndio wanatoa mwongozo wa ada kwa kila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je? Tuna sera ya elimu iliyo wazi, inayotekelezeka na kuaksi maisha halisi ya Watanzania? Je? Tunayajua matatizo ya elimu yetu? Je? Tuna mkakati maalumu wa kukabili changamoto za elimu ya Tz...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
jamani kwani hatuwezi kupata gari ya pamoja ikatupeleka hadi mtwara tech.toa mawazo yako hapa
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Naomba mnisaidie research topic ambayo inahusiana na masomo ya finance kama corporate finance,international finance, financial account, financial planing , investment...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Weka email yako tusaidiane kuangalia
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wana jf,kuna kozi mpya imeanzishwa mwaka huu pale mzumbe university ya health monitoring and evaluation,je kwa mwalimu wa B.A.ED anaweza kusomea hii kozi au ni spesho kwa watu waliosoma...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Natafuta scholarship niweze kupata masters nina first class ya Baed ila maisha magumu na natamani kujiendeleza yoyote anayeweza kunisaidia hata kwa makubaliano tafadhali nisaidie.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba kwa anaejua kuhusu mishahara mipya. Wameongeza au wanaendelea kutusotesha. Na kama wameongeza je, wameongeza tshs. ngapi? Hali sio nzuri kabisa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Spanish based Ranking Web of Universities the Webometrics Ranking of World Universities has ranked University of DAR-ES -SALAAM 28 out of 100 universities in Africa. The top five universities...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani wana jf hivi kuna uwezekano wa kuwepo kwa second selection
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Heshima mbele kwenu wanaJF. Poleni na majukumu. Tafadhalini kwa mwanaJF yeyote anaejua chuo kizuri kinachotoa mafundi cherehani wazuri anijuze Ninapenda sana hii kazi na designing ila nimetafuta...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
habarin, nimechaguliwa diploma ya nursing na NACTE, mimi siipendi hii kozi nimeamua kutafuta chuo kingine cha diploma ya clinical officer ambacho mwaka huu ndo kinaanza hivyo hakijaingizwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama umechaguliwa Lyamungo au ulisoma Lyamungo tufahamishane kuhusu shule hiyo tafadhali,naenda CBG pale.Kama kuna mtu ana instructions za kujiunga msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau matokeo yatatoka mwezi gani mwaka huu?
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom