Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

naomba kuuliza kwa ambaye anafahamu ada ya semister moja kwa wanafunzi wa ualimu chuo kikuu cha kampala ni kiasi gan?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF salaam, Kwa mda mrefu nimejaribu kutafuta chuo kinachotoa degree ya kwanza kwa njia ya mtandao lakini bil mafanikio,nilivyoweza kuvipata ni ghali sana na vyenye afadhali vinatoa masters...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wana jf mm nimemaliza kidato cha nne 2013 na nilikua niko mchepuo wa science.nilifaulu masomo mawili na moja nikapata D ila post zilivyotoka nimechaguliwa comb ya arts hgk..sasa cjui chochote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuache utani...CWUR 2014 | Top 1000 Universities Katika vyuo Kumi bora duniani hakuna chuo hata kimoja toka Africa, South America au Asia. Chuo cha kwanza toka Asia ni #13 Japan. Katika vyuo...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamaan wadau kuna baadh ya shule za private wametangaza nafasi za fm 5 sifa unatakiwa uwe na d3 na kuendelea, naomba kufahamishwa kama ni kweli. shule hizo ni st pius, st thomas hata airwing
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Matokeo ya form 6 yametoka nimepata DV 3.17 mchipuo wa HGK, naweza kusoma degree ya nini?? kama haiwezekani nisome diploma ya nini??? Naombeni Msaada wenu maana nimechanganyikiwa ndugu zangu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu Mojawapo ni ' form 6 leaver who attended one year certificate course which recognnized by NACTE'. Nimeenda hapo chuoni ila nimeambiwa sina sifa za kujiunga degree,. Wakuu naomba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Bonyeza hii link kupata matokeo Matokeo ya kidato cha sita 2014
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Na shida kwenye suala la kuandika wasifu wangu... especially kwenye referees, help
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kuna jitu lilikuwa lina itwa ibrahim halifa kwa mlio kuwa mnalifaham lili kuwa na itikadi kali ile mbaya,halikuwahi kuja shule,alikuwa ana kuja kunye siku za mitihani...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Ada zao vp kwa clinical medicine
0 Reactions
2 Replies
5K Views
jamani naomba kujua mfumo wa madaraja yaliyotumika. Maana naona kila mmoja amefaulu mwaka huu. Masoma kama PCB (yaliyo kuwa magumu huko nyuma) naona almost all have passed. Hivi points...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale walioomba uhamisho mwezi Juni 2014, sasa mambo yapo hadharani. Pitia tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu: http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/ajira/
0 Reactions
88 Replies
17K Views
Ufuatiliaji na Tathmini ya Mafunzo ya JKT kwa vijana wanaohitimu Kidato cha sita Ikiwa ni takribani miaka 3 tangu kurudishwa kwa mafunzo ya JKT kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita, ni wakati...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kuuliza,wale ambao wapo jeshini matokeo yao yametoka leo,utaratibu wa kujaza fomu za TCU ukoje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba kwa anayefahamu chuo chochote kinachotoa masters ya project planning, monitoring and evaluation anisaidie, kiwe cha nchini au nje ya nchi sawa tu. Na kama hicho chuo kinatoa...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
hv kwa BRN hii diploma za afya watachukua kuanzia ngapi mfano aliyepata DDD anaweza kupata chuo cha diploma cha afya mfano lab technician na Co msaada jamani kwa mwenye ufumbuzi na kama vyuo vipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Wanafunzi wanaosoma vyuo vya elimu ya juu nchini (University & University Colleges) wameanza mafunzo yao ya vitendo (Teaching Practice & Practical Training) tangu jumatatu ya tarehe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matokeo ya ualimu yametoka na yanapatikana kwenye tovuti rasmi ya baraza la mitihani (NECTA). Tembelea link zifatazo kuyaona. GATCE http://www.necta.go.tz/matokeo2014/GATCE.htm DSEE...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
kwa wale wanaofanya mitihani ya PSPTB(procurement) mwezi wa 11/2014 disc au evining classes zinakua wapi?na kwa wale ambao wameshafanya,huwa amount inayolipwa ni pamoja na classes au ni mitihani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom