Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani naombeni msaada wa kuipata joining instruction ya arusha technical college.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema nawapa Tano wabunge wa upinzani kwa utetezi wao wa wanyonge hasa sisi walimu. Ukweli tunanyanyaswa na mchango huo wa mwenge. Niwape historia fupi kuwa mimi ni mwalimu wa hapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jaman wale wenzangu wa udsm pspa tuanze kutafutana mapemaaa..2anze kujua mstakabali we2!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM? Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Hii ndiyo taarifa iliyotolewa na jkt katika website yao Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014 ambao walipangwa kujiunga na JKT awamu ya pili na wana sifa za kujiunga na elimu ya vyuo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
naona matokeo tayari je watakao chaguliwa mwaka huu ni lini majina yao yanatolewa?mwenye tetesi anijuze
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman naomba Msaada kwa yule aliye nayo anisaidie kunitumia au kunijuza kuhusu joining instr ya Arusha Technical college,,,,,,,Me n mmoja ya wanafunzi nnayotarajia kuanza kuxoma mwaka huu n mwez...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za mchana wana jf,msaada nahitaji soma domestic electricity,ila nahitaji kusoma kwa mda mfupi na sehemu ambapo kuna unafuu wa ada,Msaada tafadhari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:help:!!!kwa mwenye joining instruction ya karatu high school msaada!!!!!!!maana mda unaenda:disapointed:
0 Reactions
5 Replies
8K Views
kwa mfano; Ardhi University (ARU)(Conventional Programmes) sasa hii (Conventional Programmes) wanamaanisha nini wakuu? tusaidiane please, nsije chemsha.
0 Reactions
0 Replies
766 Views
MWL YUPO NZEGA anatafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka GEITA WILAY YA BUKOMBE
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Mimi mwl erick nataka mwl idara ya msingi aje mtwara vijijini mimi nije mkoa wa kagera wilaya za kyerwa,karagwe na manispaa bukoba simu yangu 0786279760 au 0569138224 nisipopatikana tuma sms
0 Reactions
0 Replies
1K Views
namna ya kupata form ya mikopo ya chuo kikuuadress yao or form
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimefurahi sana,kuchaguliwa kwenda katika shule nzuri yenye mazingira mazuri na taaluma nzuri, kwa wale tulio chaguliwa pale KAHORORO BOYS SECONDARY SCHOOL. Huu ndo muda mzuri wa kufahamiana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani leo nimelipia elfu 30 m pesa kwa ajili ya loan board lakini nikijaza transaction id kwenye OLAS wanadai ni invalid, msaada jaman nifanyaje????????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani naomba link inayopatikana joining instruction ya ndanda m email address ayubumwakatika@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Mimi nina 1 ya 16 na nimepanga kusoma PCB lakini nimechaguliwa HGK Lindi sekondari. Nimeomba kubadilishiwa shule lakini nimekuwa kati ya wale ambao hawajabadilishiwa. Naombeni ushauri wana JF...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu mliomaliza form6 mwaka huu..ni hivi nakumbuka ilipofika wiki ya mwisho ya kufanya mtihani necta walituma walaka mashuleni kuhusu huu mchanganuo yaan i:3-7 ii:8-9 iii-10-13 hivyo pasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu amemaliza mwaka huu HGL na amepata div 3 ya piont 10 (BCB),anataka kusoma degree ya sheria (LLB).Naomba ushauri ni chuo gani ambacho ni kizuri na kitamfaa kutokana na hayo matokeo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom