Habari za Jumapili wapendwa.
Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha vijana wetu fursa tajwa hapo juu. Mwanafunzi aliemaliza kidato cha 4, na credits zake hazitoshi kumuwezesha kuendelea na A -...
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bw Gracian Mukoba amekosoa vikali vitabu vinavyoandikwa na mwandishi wa vitabu na kada wa CCM, Bw Nyambari Nyangwine.
Akiongea kupitia Star TV leo...
Wadau kwa mtu aliesoma hgk/hgl na kuscore dvn 1/2 ni programs gan university anaweza soma na kuwa na uwezo wa kujiajir mwenyewe panapotokea kuchelewa kuajiriwa?
Hivi Karibun Wizara Ya Elimu Ilitoa Tanganzo La Kujiunga Na Mafunzo Ya Ualimu Stashahada(mafunzo Maalum) But Wametoa Majina Ya Chuo Cha Monduli Tu Wakati Vyuo Vilikuwa Vingi Tu Na Walisema Uchague...
napenda sana kuxomea sheria ufaul wang n gs -d,, hstry -b,, kisw -b+ na englsh -c alaf o levl pia nlpata c ya englsh
je naweza kuxomea sheria?
Vp kuhus mkopo??
Na kama cwez kuxomea sheria je n...
Wakuu naomben msaada wenu kwan mdogo wenu nimekwama mim nilimalza kidato cha nne mwaka Jana na nikachaguliwa comb HGL ila mim cna uwezo nayo kitaaluma nilikua napenda nikasome PCB nna grade DCB...
Kwa kweli hawa madogo waliomaliza form six mwaka 2013 binafsi nawakubali sana,na ni aibu kama sio kuwakosea heshima ukiaanza kuwacompare na hawa wa BRN mwaka huu 2014 na hata miaka mingine for...
Naombeni mnijuze wadau kwa kidato cha sita ambao matokeo yametoka juzi wataanza kujaza lini vyuo vikuu maana najaza najibiwa namba ya mtihani yq form sic haipo kwenye system. Watuambie tutaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.