Haiwezekani hali inakuwa mbaya kiasi hiki, elimu inashuka matokeo yanapikwa, wataalam wanamdanganya, amekubali, katika kada ya walimu tangu Mh Rais aingie madarakani, ahad yake muhimu ilikuwa...
Habari wanajamvi wote, Kuna kitu kidogo kinanitatiza, ni kuhusu diploma holders waliomaliza mwaka huu (2014) na utaratibu wa TCU/CAS kwa wale ambao tunahitaji kuendelea na masomo.
Sasa tatizo...
Wakuu eti inawezekana kupostgraduate fani fulani na masters pia ukafanya fani nyingne? Au kuna limitation kwamba ulichofanyia postgraduate ndo hicho hcho ukfanyie masters?
Pia unaruhusiwa...
Jaman hili swala lmekuwa donda sugu mpaka leo hatujui hatma ya hzo hela kama tunapata au laaa
tumeeendelea kuckilia porojo kila cku mara leo mara kesho lakin mpaka wa leo kmya.
sasa kwa...
kama u nakitabu cha huyu mtu, hakina sif ya kusomwa na mwanfunzi anaehitaji msaad wa kitaaluma,
napendekeza kuchomwa moto na kutupwa mbali watoto wasitumie vitabu kwani imetosha sasa, tangu...
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St...
Msaada wenu jaman Nmechaguliwa Telecom Engineering hapo Arusha Tech college bt kuna baadh ya wa2 wamenishauli nibadilishe hii course coz cku hz hain dili eti bt nyie mnanishaur vp bt me nliipenda...
Nilikuwa nasomea Science kwa kombi ya PGM, but wizara imenipanga kwa kombi ya HGL. naombeni kujua ni kazi nzuri gani zinazopatikana kwenye hiyo kombi coz sikuwahi kufikiria ni mtu wa aina gani...
wakuu naomba kujua tofauti ya hizi course kwa sababu Engineering geology ni miaka 4 UDSM na Bsc in geology ni 3yrs,sasa naomba tofauti zaid ya kitaaluma asanten
Wadau inawezekana kusoma programme ya PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT pale UDOM kwa matokeo ya dv2 ya pnt 8: g/s-C, Hist-B+, geog-B, Kisw-B. ? Msaada tafadhar
Habari za sasa wana jf! Kiufupi hii kitu ya matokeo ya kidato cha sita kuchakachuliwa imenigusa sana hadi nikaamua kujoin jf ili niwezi kupost,,,,,,,inasikitisha sana watanzania kuhusisha elimu ya...
Nina teaching certificate grade A chenye 3.8 GPA awarded as CREDIT + Form 4 certificate chenye dv 3 pts 23 ambapo kina credit 4 na the rest zote ni D + FSS fm 6 certificate + miaka 5 ya uzoefu wa...
Jamani naomba msaada kwa mnaofahamu hili linakuwaje? Jana nimeingia profile nikakuta checking in progress, nilivoenda kwenye matokeo nikakuta nimechaguliwa KAM COLLEGE OF HEALTH, Ordinary diploma...
Matokeo ya kidato cha 6 2014 kama yameendana na uwezo wa wanafunzi ni vizueri,lakini kama ni kinyume chake inamaana matatizo kama nyumba za walimu,mshahara mdogo,maabara,mafunzo kazini,vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.