Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari zenu wakuu. Nauliza kama kuna kozi yoyote ya pcm kwa matokeo haya cbb respectively ambayo itaweza kuja kunilipa atleast 2,000,000 per month? na ni kwa chuo gani
0 Reactions
21 Replies
6K Views
naomba kujua chaguzi za ualimu ni lini kwani nimechoka kusubili. bora npige kaz zingine bwana.
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Hamjambo humu..napenda kuwasilisha hoja.....karibuni mchangie bila kusahau wale much know
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani mimi nataka kusoma BAED katika vyuo vya dar es salaam,nataka nijaze udsm na duce...kuna mtu kaniambia kuwa nikikosa nafasi katika vyuo ivyo nitapelekwa Mkwawa, ivi ni kwel? na MUCE sipendi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi kama mwalimu wa sekondari na niliyefundisha wanafunzi wa acsee 2014 nimefarijika sana na matokeo haya.imeonesha ni jinsi gani walimu tumejituma mpaka uwezo wetu wa mwisho kuhakikisha elimu ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau habari zenu.... embu tusaidiane na kujuzana kuwa graduate diploma na certificate wanaenda jkt kwa mujibu wa sheria na post zao zinatokea huko huko jeshini. Nimeckia diploma na certificate...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nijulisheni ada pamoja na michango ni sh.ngapi kwa certificate coz in clinical medicine vyuo vya serikali.Mdogo wangu kachaguliwa sumbawanga institute.
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Have you ever enjoyed the benefits of this free service called drop box where you can store your data online freely and safely and then access them anytime from any angle of this world? Please...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Competition among high schools in Dar es salaam is brutal, driven by either the desire to perform or the lust for ample revenues; but all in all parents are after nothing else but good results...
0 Reactions
5 Replies
27K Views
hivi inawezekana kwa form six wa 2014 kuaply diploma ya afya mwenye uelewa anijuze maana celewi pakuanzia ili nisome diploma ya afya msaa plz jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kazi wakuu,mimi nahitaji msaada kidogo nina uncle wangu anasoma CBE pale posta juzi tumemlipia ada ili afanye mitihani sasa tatizo hatujuwi kama kashamaliza hiyo mitihani...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nini kinahitajika katika postal address?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa kuwapatia pesa toka bodi(heslb) mimi NAAMIN nimeazimia kuanzisha mgomo na maandamano ya Pamoja kwa wale wote wanaofanyia field Dar ambao utaifikishia ujumbe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa ni shida na mtu yeyote ayefanya mitihani ya TIOB ngazi ya CPB naombe anipm contacts zake.Nina shida kuhusiana na hizo course.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwajuza wazazi,walezi na wanafunzi juu ya sintofahamu hii ya suala la ongezeko la ada chuoni kcmc. Jana kulikuwa na college baraza na majibu ya viongozi wa serikari...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Tafadhali kwa wale wenye uzoefu wa masters zinazotolewa kwa njia ya masafa marefu, je huwa vyeti vyake vinatambulika na serikali yetu? Tafadhali napenda kujua, chuo chenyewe ninachotaka kusoma ni...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Waliomaliza diploma mwaka huu 2014 mwisho wa kuapply elimu ya juu ni lini!?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu Amehitimu mwaka huo diploma na matokeo odio kwanza yametoka wiki iliyopìta. Wakati akiaply chuo thru Cas, anadaiwa namba ya cheti na anatakiwa pia akiupload cheti, na vyeti hawajapatiwa...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Hivi wanafunzi wanaoomba kujiunga na vyou vya afisa pia wanafanya on-line registration katika mfumo wa central addimission system.au inakuwaje majina ya waliochaguliwa yanatolewa kwenye website ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Back
Top Bottom