kwa wale wenzangu na mm tuliopata DDC kuna chuo kma MUST(mbeya university of science and technology) bdo wanapokea maombi kwa wale wa direct entry mwixho ni tarehe 28/8/2014 fomu za kujiunga...
Eti wenzangu wana JF ushauri wenu ni wa muhimu..ipi ni nzuri zaidi ya mwenzake kati ya geomatics na civil kuanzia upande wa upatikanaji wa ajira bongo hadi inavyofundishwa vyuoni..kwa anayejua msaada.
Dar es Salaam. Bodi ya Taifa ya Uhasibu (NBAA) imebadili mitalaa itakayotumika kuwatahini watahiniwa katika daraja juu la uhasibu Certified Public Accountant (CPA) kwa lengo la kuongeza ufanisi...
Nimelipia jana loan board lakin nakumbana na tatizo kila napofungua sehemu ya first applicants, inafunguka halaf sehemu ya kuingiza transaction id ili kuregister inafeli kufunguka! Wenye ujuzi...
UKISOMA KITABU CHA TCU AMBACHO KILIKUWA MTANDAONI HADI 08/07/2014 UKURASA WA 9 UNASEMA:
Note: The programme requirements in this book use the Old Grading System to...
We provide a free of charge support in application and admission to Undergraduate, Masters, Ph.D and other professional programs with a wide range of academicdisciplines.
We have close ties with...
vijana wengi wanao jiunga na vyuo wanasoma kozi kwa mkumbo bila kuangalia hali za familia zao.eg. m2 anasoma kozi hajui hata soko la ajira katk koz hzo matokeo yake wanakosa hata sehemu za kufanya...
Pointi za Mtihani wa ACSEE zimepangwa kama ifuatavyo:- Division 1 ni kuanzia 3-7, Division 2 kuanzia 8- 9, Division 3 kuanzia 10-13, Division 4 Mtahiniwa anatakiwa angalau awe amepata D mbili au...
nawauliza tamisemi inahusika na viwango vya ufaulu wa wanafunzi? nimekuta tangazo kutoka ofisi ya waziri mkuu tamisemi eti ndio imepanga matokeo ya viwango vya ufaulu.nachojua ni wizara ya elimu...
Kwa mfumo wa elimu ya nchi yetu Tanzania (sijui nyingine) ni wazi kwamba tunasoma kwa muda mrefu mambo mengi yasiyohusiana ma taaluma tunazozipenda kutoka shule za msingi mpaka kidato cha sita kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.