Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba msaada wenu wakuu nataka kujua duration (muda) kwa kozi ztolewazo na open ni sawa na duration(muda) za vyuo vya kawaida au?,,,,na ikiwezeka na anaejua fee structure za open,,,,mfano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau nacte wanatupa presha sana, ukiingia kwenye profile yako utakuta umechaguliwa chuo ila unatakiwa uconfirm sasa hiyo confirmation button ipo disabled na wamesema kama hutoconfirm mpaka tar.12...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
vp jaman kuna aliye tuma maombi mala ya pili ya wizara ya afya akapata majibu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari ? naomba unijuze kama wewe ni muhusika wa IFM au TIA. nimepeleka form ya maombi ya kujiunga kwa ngazi ya certificate katika vyuo hivyo. Kwa hiyo ningependa kufahamu kama majibu yamesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari ndugu, hivi kunauwezekano wa mtu kurudia mtihani wa kidato cha sita kwa masomo mawili ya comb yake? Naombeni mnisaidie kupata jibu sahihi tafadhar.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman wakuu vp mazingira ,chakula ,malazi ,na ufaulu wa kidato cha 6 hasa masomo ya science kama PCB? Kwa shule tajwa hapo juu! Na je bado ina o'level? Usumbufu mwingine kama kulima mazao je?
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Msaada eleweshi wa tarakea high na join instruction plus mazingira wakuu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg mwalimu njoo MTWARA MJINI mm nije MWANZA jiji idara ya sec. hk pazur kiuchumi ila nko mbal na familia. no 0652620272
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiki chuo kinatoa elimu ya kukariri na sio kumfanya mwanafunzi awe critical thinker haiwezakani mtu mmoja usome course 11 hadi 12 kwa semister moja kwani inamfanya hata mwanafunzi akose muda wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi wadau" computer science"mkopo ni asilimia ngapi kutoka bodi ya mikopo?
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Naombeni msada wa kueleweshwa crite ria zkiwemo na passmark za kujiunga na T I A kw waliomaliza form 4
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wataalamu wanaozungumzia uhusiano wa lwanda magere na samson wa kwenye biblia, na website za kuwapata.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Teh teh teh kwanza Hongereni kwa kuchaguliwa katika moja ya shule ngumu Tanganyika sijui kuhusu Zanzibar, ukimaliza hapa JKT huwezi kwenda kusumbuka coz hapa MTISAFI ni JWKBU(Jeshi la kupambana na...
3 Reactions
41 Replies
23K Views
Wadau naomba anayeijua email ya NACTE anisaidie!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba msaada tafadhali, kuna mtu anafanya reg. OLAS lakini akifikia hatua ya kuingiza details za grantor, mambo yanakuwa tofauti na tulivyofanya kipindi kilichopita, lakini hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenye majina ya watu waliomba kubadilishiwa shule advance
0 Reactions
0 Replies
865 Views
N mwez sasa tangu heslb ianze kutoa ahadi fake kwa serikal ya wanafunz kwamba majina ya field yapo tyr na yametumwa chuo haitosh tumeondoka bila kusain huku tukipewa maneno ya faraja kwamba pesa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Namshukulu Mungu kwa kupata nafasi ya masomo kwa ngazi ya post graduate diploma in procurement and logistic management katika chuo cha Tanzania Institute of Accountancy.Je, ngazi ipi nitayoanzia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu hamjambo?!! Nilikuwa naperuzi mtandao kutafta chuo nikatimize ndoto yangu ya kupata MAsters ya Biashara! nimefungua UDOM WEBSITE nikakutana na kali ya mwaka aisee.... wanachuo 34...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Bila shaka ni jambo lisilopingika kuwa kozi hii ni muhimu sana kwa mid carrier na wajasiliamali hasa katika sekta ya Kilimo, wengi wetu tumebanwa jiji Dar na masumbuko ya Maisha. Tungependa sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom