Kwa yeyote yule aliyegraduate PGDE Open university of Tanzania naomba anisaidie jinsi ya kuandika project au guidelines za kuandaa project coz hawa jamaa huwa hawatoi chochote wanasema tubuni...
wakuu salam na eshima kwenu.
tafadhari naomba msaada wenu, najaribu kutafuta scholarships kwa ajili ya masters, Msc. mwenye ujuzi zaidi ama ushauri nitashukuru sana, natanguliza shukrani na...
jamani mambo vipi?naomba mniorodheshee sifa na vigezo vya kujiunga na pond boys(pugu)EGM.maana nina II-18,Geog-B,B/Maths-B+ So sijajua kama ntapostiwa pugu au laa! ila ilikuwa the first in...
Royal College Of Tanzania vs Dar City College vs Time School Of Journalism.
Naomba kufahamishwa chuo kipi kati ya hivo juu ni bora zaidi.
Ahsante sana.
yaani nimeiacha familia yangu...nimemuacha mke wangu na mtoto wangu tena nimepangwa porini kisa sina ndugu halmashauri..tena nimewahi kuripoti na hela ya kujikimu nimepewa nusu halafu eti...
Wana jamii nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana 2013,sasa dogo ana mashaka kuwa hawata mchagua kwenda form 5,mpaka sasa dogo yupoyupo tu! Amna cha pre form 5 wala nn!!
Na matokeo yake n...
Ni wiki ya kwanza ya walimu wapya kuripoti ktk vituo vya kazi walivyopangiwa. naomba tupeane taarifa jinsi tulivyofika ktk vituo hivyo toka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri yako iliyokuajiri...
Kwa taarifa nilizonazo nafahamu kwamba Form Six wanaanza muhula mpya kuanzia tarehe 8/7 na kuendelea, kinachonisumbua akil NI kwamba had sasa. form five SELECTIONS kwa madogo tulomaliza last one...
Wadau nani amefanya hii test ya Wombat na hawa jamaa wa Everett? Walitoa nafasi za scholarship za upilot na sasa hivi ni stage ya Wombat test, mwenye idea atusaidie.
Scholarship for Tanzanians from the Government of Mauritius
The Government of the Republic of Mauritius is offering scholarships for undergraduate studies in public tertiary education...
aman kwenu wana jf,jaman nataka ku-apply chuo kwa kutumia equivalent qualification (diploma in education),sasa katika kupitiapitia tcu guide book 2014/15 wameandika atleast mtu awe na SECOND CLASS...
Nina vijana wangu wamekuwa wakinifanyia kazi nzuri sana na kwa uaminifu katika biashara zangu nataka niwaendeleze kwa masomo haya ya QT tatizo sijui vyuo gani vinatoa elimu hiyo; tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.