Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Please invest your time to read The Quota Scheme - University of Oslo The Quota Scheme - University of Oslo
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Kwa yeyote yule aliyegraduate PGDE Open university of Tanzania naomba anisaidie jinsi ya kuandika project au guidelines za kuandaa project coz hawa jamaa huwa hawatoi chochote wanasema tubuni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu salam na eshima kwenu. tafadhari naomba msaada wenu, najaribu kutafuta scholarships kwa ajili ya masters, Msc. mwenye ujuzi zaidi ama ushauri nitashukuru sana, natanguliza shukrani na...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
jamani mambo vipi?naomba mniorodheshee sifa na vigezo vya kujiunga na pond boys(pugu)EGM.maana nina II-18,Geog-B,B/Maths-B+ So sijajua kama ntapostiwa pugu au laa! ila ilikuwa the first in...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu,,,kwa wale wanaofahamu post za o-level 2013 zinatoka lini pls i really nd ur ans.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Royal College Of Tanzania vs Dar City College vs Time School Of Journalism. Naomba kufahamishwa chuo kipi kati ya hivo juu ni bora zaidi. Ahsante sana.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inasemekana kua wliopata darja E hao wote wamefeli,kua hiyo si pass bali ni feli tu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
yaani nimeiacha familia yangu...nimemuacha mke wangu na mtoto wangu tena nimepangwa porini kisa sina ndugu halmashauri..tena nimewahi kuripoti na hela ya kujikimu nimepewa nusu halafu eti...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamii nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana 2013,sasa dogo ana mashaka kuwa hawata mchagua kwenda form 5,mpaka sasa dogo yupoyupo tu! Amna cha pre form 5 wala nn!! Na matokeo yake n...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eeh jamani wana jf hivi nikisoma barchelor of mathematics in education naweza kupewa mkopo asilimia 100%?Kwa vyuo vya UDSM,SUA,UDOM&MZUMBE??
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni wiki ya kwanza ya walimu wapya kuripoti ktk vituo vya kazi walivyopangiwa. naomba tupeane taarifa jinsi tulivyofika ktk vituo hivyo toka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri yako iliyokuajiri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa taarifa nilizonazo nafahamu kwamba Form Six wanaanza muhula mpya kuanzia tarehe 8/7 na kuendelea, kinachonisumbua akil NI kwamba had sasa. form five SELECTIONS kwa madogo tulomaliza last one...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
jamani kama kuna mtu ana update kuhusu post za ualimu second selectio naomba anijuze maana nimekuwa so confused na cku ndo ivo znaenda!!!!!
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau naombeni yeyote mwenye kujua idadi ya shule za sekondari (serikali na binafsi) hapa nchini kwetu. Ninatanguliza shukrani za dhati!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau nani amefanya hii test ya Wombat na hawa jamaa wa Everett? Walitoa nafasi za scholarship za upilot na sasa hivi ni stage ya Wombat test, mwenye idea atusaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
baada ya kampen kali kuisha hatmaye rais wa udsm ajulkana, ninan huyo narud kukupa taarifa zaid
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Scholarship for Tanzanians from the Government of Mauritius The Government of the Republic of Mauritius is offering scholarships for undergraduate studies in public tertiary education...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
aman kwenu wana jf,jaman nataka ku-apply chuo kwa kutumia equivalent qualification (diploma in education),sasa katika kupitiapitia tcu guide book 2014/15 wameandika atleast mtu awe na SECOND CLASS...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Anaehitaji mwalimu wa part time uchumi Micro economics and Macro economics pia advance History anaweza kuni email:mchlmmnl2@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina vijana wangu wamekuwa wakinifanyia kazi nzuri sana na kwa uaminifu katika biashara zangu nataka niwaendeleze kwa masomo haya ya QT tatizo sijui vyuo gani vinatoa elimu hiyo; tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…