Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

nimeikumbuka hii story ya Mtakuja primary school shule ya msingi. Hoja si hiyo. Hivi nini msaada na ufanisi wa somo la kiingereza shule za msingi za serikali? Kila mtu ana maoni yake ila...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Kwanza nianze kwa ku declare
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Kesho naenda kansani kutoa shukurani kwa mungu kwa kumalza chuo kufaulu na kuajriwa Asante mungu kwa mema mengi Mwl Mtei
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Scholarships for africans
0 Reactions
0 Replies
665 Views
mimi niliappeal mkopo semista iliyopita na nimepata. sasa niliokuwa naomba kujuzwa je nitapewa hela kuanzia semista ya pili tu au watanipa na laki mbili stationery ambayo sikupewa? maana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi vocha za tcu huko bongo zipo?na hawa heslb lini app na bei zao kwa wanaojua..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wale walimu tuliopangwa pwani twenzetuni au mwaonaje mie npo arusha nw
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani naomba mnijuze mazingira ya wilaya hii,je usafiri wa dsm kwenda kilindi upo!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Friday, March 21, 2014 Varsity students may roam region 0 Comments...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naombeni nipate kufunguka mshahara kamili wa wauguz diploma ..asante
0 Reactions
13 Replies
3K Views
samahani wana jf nilikuwa naomba kujuzwa jinsi ya kutuma maombi vyuo vya kilimo vilivyopo miko ya mwanza,arusha na moshi jamani msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do have a problem to develop a concept paper or research proposal? Do have a problem to write dissertation/thesis? Do you have any problem to understand, organize and analyzing data? Do you have...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Naomba mwenye kufahamu wilaya hii anijuze nipate kufaham palivyo huko'
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman mke wangu ni mwalimu yuko Tabora Wilaya ya Nzega amekaa kule tangu 2012,natafuta mwalimu aliye makete au Mbeya anayetaka kwenda Tabora.
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Jamani eti nasikia waalimu wanatoa rushwa ili wapangiwe mjini...sasa hawa watawafundisha watoto nini? Jamani, PCCB kazi kwenu saaaaaasaaaaa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukweli hawa walimu kibaha wapo vizuri,maana wanapatikana kwa njia nzuri,tofauti na wanayotumia wizara ya elimu .huwaz kwenda kufundisha shule hii bila kusailiwa na sekretarieti ya ajira,ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukisikia serikali inavyotamba kwamba elimu ya shule ya msingi ni bure kwa kila mtoto wa kitanzania kwa shule za umma. Lakini kunamichango chungu nzima, mara mtoto anadaiwa sare,dawati, pesa ya...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
http://youtu.be/bfR82RnRwhA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mwalimu wa shahada anayetaka kuhamia mkoa wa Kagera Biharamulo kutoka mikoa ifuatayo (DODOMA, SINGIDA,SHINYANGA,MOROGORO ) Tuwasiliane 0767977834
1 Reactions
0 Replies
995 Views
Kwa mwalimu wa shahada anayetaka kuhamia mkoa wa Kagera Biharamulo,Kutoka mikoa ifuatayo (DODOMA, SINGIDA,MOROGORO,AU PWANI tuwasiliane 0767977834
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…