Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa wadau wa JF. Nina mdogo wangu wa kike anafanya kazi Dar (Nurse) serikalini na mme wake anafanya kazi Morogoro. Ana mpango wa kuhamia kwa Morogoro ili aweze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nmezoe kuona vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva wa magari ili cjaona mafunzo ya uendeshaji pikipiki ila leo nmeona chuo kinachotoa mafunzo ya uendeshaji baiskeli na wanafunzi wamejaa si kawaida.!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau naombeni anaefahamu chuo chochote kinachotoa mafunzo ya ufamasia au course za uuzaji wa maduka ya dawa kwa dar au arusha anijulishe. asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa anaejua naomba kusaidiwa halafu kwa matokeo haya naweza kwenda goverment A level History C Geograp C Kiswahil C English C Civics B biology D math E jaman naon HKL. HGK na HGL...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii elimu ya kitanzania mbona hivi. Si universities, collages, primary wala secondary, mambo hayaeleweki, yan vurugu tupu.
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Habari za asubuhi wadau. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne 2013, matokeo yake amepata div IV ya 33, ana C ya Biology, D ya Physcics na E ya Chemistry na D ya Maths. Sasa naomba msaada kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic of: 1.University of Dar Es Salaam - It is the oldest and biggest public university in Tanzania. - It is...
3 Reactions
97 Replies
16K Views
Binti yangu amehitimu kidato cha nne 2013 na amepata daraja 1 points 15. Yeye anapenda kusoma Civil Engineering, anataka kuanza na chuo kwa hatua za mwanzo ,halafu ndio aende elimu ya juu kupata...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana JF. Ndio. Uingereza ni mji wa Marekani. Jinsi nilivyoanza unaweza kusema kwanini hili sikupeleka jukwaa la Utani. La bali ni masikitiko yangu tu hasa katika swala la Elimu hapa kwetu...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Ndg wana Jf kumekuwa na taarifa mkanganyiko mtaani (taarifa zisizo rasmi) kuwa vyuo vingi nchi hii vinatoa degree ambazo ziko chini ya viwango, hii inasababisha watu kutoleana maneno ya...
3 Reactions
427 Replies
50K Views
Kuna kipindi serikali yetu sikivu walitangaza kuwa elimu ya sekondari olevel itaunganishwa na primary na kuwa miaka 9 then mtu anaenda direct advance. Mpango huo ulifia wapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni chuo gani ambacho kinatoa kozi unique ambazo vyuo vingne visingethubutu kutoa Tanzania.? Kozi ambazo Africa mashariki n kati zinaptkn vyuo viwili two .... Kozi ambzo certificate zake hazipo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
walimu hususan vyuoni wanapowaambia wanafunzi hususan freshers kuwa 'hili darasa mpo wengi mno inabidi mpungue ili kuwepo na hewa' na kuna wanaosemaga 'hii course hakuna anayeweza kupata A' je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vyenyewe vinatazama pesa tu.utakuta mtu ana division 3 ya 17 anaenda chuo kusoma shahada. Lakini vyuo vikuu vya serikal huwezi kuta takataka hiyo
1 Reactions
10 Replies
2K Views
nimeanzisha elimu kwa njia ya mtandao (online learning) kwa somo la geography hivyo nawakaribisha wote watakao vutiwa na darasa hili. nitatoa jina la mtandao huo muda sio mrefu kwani bado...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa bahati jana niliona post yenye link za materials kwa njia ya video, Ila leo nimetulia ilinizifuatilie sizioni tena. Tafadhali aliyeweka au anayejua zilipo anijulishe pls!
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Back
Top Bottom