Wakuu pole kwa kazi ya ujenzi wa taifa! Naomba msaada wa maelekezo na hatua za kufuata kama umereseat na unataka kuwa na matokeo yako ktk cheti kimoja yaani kufuta ya zamani na kuwa na...
Nilikuwa nafuatilia matokeo ya kidato cha 4 ili kubaini chanzo cha "kubuni" matokeo hayo kikubwa nilichogundua ni "wizi" wa kura kwa mwamvuli wa ufaulu.wazazi wanahadaishwa na matokeo hayo ili iwe...
Wiki zilizopita iliibuka mijadala mingi ooooh ajira za waalimu zimesitishwa, ooooh walimu wa arts hawataajiriwa, oooh ajira za waalimu ni mpaka mwaka mpya wa fedha, oooh serikali haina fedha...
Wakuu kumekuwa na maneno kwamba kwenye hivi vyuo vya MZUMBE na UDSM kwenye kozi ya SHERIA(LL,B) ndio wanashule ngumu sana kulinganisha na vyuo vyengine vya kata kama SAUT,RUCo,TUMAINI DAR,TUMAINI...
Hatimae chuo cha st.joseph songea kufungwa kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vya chuo kikuu. uamuzi huo umetolewa na uongoz wa mkoa baada ya wanafuz kugoma leo ikiwa siku ya 2...
Tare he 11. 02. 2014 usaili ulifanyika kwa
walioomba scholarship za tgcl.
Chakushangaza ni mda mchache uliotumika
kwa Kila mtu kuhojiwa, yani dk5 tu. Maswali
ya kujiuliza ni: je huu usaili ndo...
Agosti 1, 2012 kulikuwa na mahafari ya tatu ya chuo hicho.Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ndugu Emmanuel Nchimbi. Katika wanafunzi 19 waliohitimu watatu walipata First class.Wa kwanza...
kwa nini serikari inabadilisha badilisa pesa kwa raia wake.? . Hizi mpya sijaona uimara wake nilifikiri zitakuwa bora zaidi kuliko hizo za hapo awali. Sasa ni afadhari hizi mpya ziondolewe kwenye...
msaada wanaJF,
nina mpwa wangu (mtoto wa dada) mimi ndio ninayemsupport kwa kila kitu sasa matokeo yake ya form IV ana B moja, C tatu, D mbili na F moja na combination zilizokubali ni HGL au...
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira...
DIT ni chuo cha tekinolojia bila tekinolojia, kimepoteza mana na kushindwa kusadifu jina na kuwa mhimili wa tekinolojia kwenye taifa lisilo na tekinolojia hata ya kuiba, kimegeuka chuo cha kutoa...
Hodi wana jukwaa,na habari za majukumu.
Najua watembeleaji wengi wa jukwaa hili ni wadau wa moja kwa moja wa elimu.
Sasa,naomba ku pose haka ka swali ka kutufikirisha kidogo:
JE,UNASOMA ILI...
Nimekuwa nafuatilia kidogo masuala ya elimu,ila hapa nasema kweli.huu ni wizi uliopindukia jamani matoke ya kidato cha 4 ni wizi wa kisiasa kuwarubuni wananchi ione wamefauku kumbe nia ni...
Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.