Wakuu mnaoifahamu hii faculty ipi kati ya hizi ni specialization nzuri in term of market and salary?
1.microbiology and immunology
2.Haematology and immunohaematology
3.Histo and cytopathology...
kumekuwepo na wimbi kubwa la watu na hata mada zikibeza na kutilia shaka uwezo na ubora wa vyuo vya binafisi kiasi cha wengine kuviita majina ya ajabu ajabu.
kwa mkutadha huo nimeona bora...
mfumo wa elimu yetu ya tanzania unatambua masomo matatu kwa kila combination.
mfumo wa kujiunga chuo kikuu unataka ufaulu wa masomo mawili tu.
Vitivo vyuo vikuu vinataka masomo mawili tu.
KWA NINI...
Ndugu wana Jf;
Naomba kujua kama kuna hiyo kozi Mzumbe (Masters of Arts in Language mgt) naomba nijue na sifa zake au chuo kingine kinachotoa hiyo kozi.
Nawasilisha
Kama ilivyo kwenye board za mazao kama bodi ya kahawa,bodi ya pamba,korosho n.k. Kama ilivyo kwenye majeshi kuna Jwtz,polisi magereza,uhamiaji n.k. Hata walimu tutenganishwe katika chama wale wa...
Hongereni sana kwa kuchaguliwa chuo cha usimamizi wa fedha, chuo hiki kipo katikati kabisa ya jiji la Dar es salaam, kipo mkabala na Jumba la makumbusho ya taifa.
Taaluma.
Chuo kwa asilimia...
MWANAFUNZI aliyemaliza kidato cha sita katika shule ya sekondari Saronge, iliyoko mkoani Kigoma na kuchaguliwa kwenda chuo kikuu kwa ajili ya kuanza masomo ya mwaka wa kwanza katika kipindi cha...
Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE...
1.Harvad university..2.MIT(massachusetts institute of technology...3.Stanford university...4.University of cambridge..5.University of Oxford..
6.Calfonia University,Berkeley...7..Princeton...
Wakuu habari zenu!
Mimi ni mwana chuo wa mwaka wa kwanza
chuo cha ufamasia kilichoko Kimara Dar jina kinaitwa Paradigms.
wakuu naombeni msaada kwa yeyote mwenye notes za second semister...
Habari ya majukumu wanajamvi.
Me nilikuwa na wafadhili wangu toka p/school hadi A'level lakini ikafika mda mawasiliano yakakatika kabisa na mpaka sasa sijui wa hali gan. Mara nyingine nakosa...
Wakuu, kuna kitabu ninacho hapa kinaitwa "UTIMILIFU WA MVULANA". KIMEANDIKWA NA WILLY M.T.SLAA WA S.L.P 49 MBULU. KIMECHAPWA TAR.25.3.1982. ILA KIMEANDIKWA MARCH 1981 HUKUO PONTIFICAL URBAN...
Wakuu nawasalimu,mimi huwa napenda sana kujisomea vitabu mbalimbali,so kwa mtu yeyote alie na kitabu ambacho anajua ni kizuri na kimemsaidia kumpa vitu fulani vipya katika maisha yake,iwe ni...
Habari zenu wana jf
Nimekuwa nikitazama mara kwa mara kwenye picha mbalimbali
za vyombo vya habari nikagundua wanawake wengi wakuu wa wilaya
na wabunge wa viti maalum karibia wote ninaowafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.