Habarini,
Nataka nijiendeleze na ngumbaru kwa kidato cha nne. Kwa mipango yangu, nategemea kufanya mitihani ya kidato cha 4 kama mtahini wa kujietegemea mwakani 2015.
Nimepitia matokeo ya baadhi...
TANGAZO TANAGAZO!!!!
NAITWA ELIUD NDEWIRWA PALLANGYO(NI MWALIMU)
NAFUNDISHA MWANZA, IDARA YA SECONDARY NINA TSD
NATAFUTA MWALIMU YEYOTE MWENYE UTAYARI WA KUFUNDISHA/KAHAMIA MKOA WA MWANZA ILI...
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa.
Serikali imetangaza kuwajiri walimu wapya 36,071 mwaka huu ambao majina yao yanatarajia...
nDUGU WAALIMU NAOMBA MWENYE MARKING SCHEMES ZA NECTA KWA MIAKA TOFAUTI TOFAUTI ANISAIDIE HASA KWA MASOMO YA BOOK KEEPING, COMMERCE, ECONOMICS & MATHS PLZ NISAIDIE NA GHARAMA ZITARUDISHWA!
Türkiye Postgraduate Scholarships program offer full funded scholarships to students all over the Word.This is Government sponsored Program.
Scholarship programme included
Islamic Theology...
Kwa yeyote mwenye material ya project management yenye topic zifuatazo anisaidie
1.STRATEGIC HUMAN RESOURSE 2.PROJECT PROCESS,PLANNING& CONTROL 3.PROJECT SUSTAINABILITY ,MONITORING&...
habari wanajukwaa la elimu..
Kama ilivyo ada sisi wanataaluma huwa na tabia ya kujuzana juu ya mambo tofauti tofauti katika kada yetu ya elimu.
Leo ningependa kugusia suala hili la ranking ya...
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.
Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa...
CWT(Chama Cha Waalimu Tanzania kimejaa usanii mtupu,natokeo ya kidato cha nne kila mwaka yanaporomoka na Katiba ya CWT inasisitiza elimu bora hali inazidi kuwa mbaya hadi serikali inajiongeza na...
naomba msaada, yoyote mwenye kujua course content ya MA project planning and management inayotolewa hapo UDSM, NAOMBA MSAADA. NIMEOMBA MSAADA KWENYE JUKWAA LA ELIMU SIJAFANIKIWA HEBU WANASIASA...
Ndugu wadau naomba tujiulize kwanza,
Kwa mfumo wa zamani grade A ilikuwa 81-100,grade B ilikuwa 61-80,grade C ilikuwa 41-60,grade D ilikuwa 21-40 na mwisho ni grade F ilikuwa 0-20. vivyo hivyo...
wadau wa elimu na walio na uzoefu naomba mnisaidie kwan natakiwa kusoma somo moja kati ya hayo mawili,hivyo nauliza somo lipi linafaa kati ya investment na credit and lending,npo chuo mwaka wa pili
Nimegundua ubora wa elimu hapa TZ,ulianza kushuka miaka ya 2008, kama tunakumbuka kipndi hiki(kikwetism) mitihani ya taifa form 2 na form 4 ilivuja mno, Madogo wengi walitusua kwa kwenda shule...
Jamani, wazazi kuweni makini, na baadhi ya walimu, wa mchikini walimu wamekalia kuwa mara muddy ana one ya tatu, mbuga one ya nne, muramura one ya tatu, walimu wote waliobaki akina mgote, unga,na...
The number of Kenyan students studying in Ugandan universities has declined, officials have said.
Kampala University, which has the highest number of Kenyan students after Kampala International...
Habari zenu wakuu. Mwenzenu apa nna ndoto za kuwa airline Pilot japo tanzania hatujawa na kampuni zenye kumiliki boeing na airbus (itoe fastjet mana si yetu). Tatizo kipato kinanizuia maana cost...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.