Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

nina mdogo wangu ambaye kahitimu kidato cha nne mwaka jana na alikuwa anasoma masomo ya art kapata kama ifuatavyo kiwahili C biosD history D geography D english D civics E mathe F anaweza akaenda...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Potato farmers peel off brokers as new pact puts more money into their hands At the heartland of Nyandarua County, an old building is changing the fortunes of thousands of farmers from Meru...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa!!....... Kama mnavyoona tetesi zilivyonyingi kuhusu ajira za walimu mwaka huu,ni mwendo wa danadana tu na kupigwa karenda ila hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho,subira...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Kama ID yako ni ya semister moja,hutaruhusiwa kusign boom mpaka ulipe portion ya ada yako unayodaiwa na utengenezewe ID ya semister ya pili.mtaarifu na mwenzio uonapo ujumbe huu..source ni me...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
jaman mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni bei gani na hutoka kwa mda gani na mshahara hutoka kwa mda gani
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimeanza kuamini msemo wa rafiki yangu kuwa mtu anayesomea Ualimu anatakiwa awe na wito kweli. Leo asubuhi nafungua TV nakutana na habari eti walimu Kagera wanaomba serikali iwapeleke JKT walimu...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
AS A STUDENT AT MURDOCH UNIVERSITY IN DUBAI(AUSTRALIAN UNIVERSITY IN DUBAI) NAPENDA KUWAKARIBISHA WOTE WENYE NIA YA KUJIUNGA NA CHUO CHA MURDOCH UNIVERSITY IN DUBAI KILICHOPO ACADEMIC CITY IN...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
wana Jf , naomba kujua vyuo vya ualimu vilivyopo mwanza, vile vya binafsi pamoja na vya serikali. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Habari za humu jaman,Ninaomba msaada kwa anayejua vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya crinical officer anijuze tafadhar....kuhusu ufahulu nimemaliza form six nina two ya 12 CBG ila nina F ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Ningependa kueleweshwa kwa mtu yeyote aliyewahi kuitwa kwenye interview kwenye chuo cha Mwalim Nyerere Memorial Academy-Kigamboni. Kama kuna form yoyote ya kulipia na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mtu amepata vyuo viwili kimoja US kingine UK...vyuo hivi havijatofautiana sana kweenye global ranking ya ubora. Tofauti kubwa ni kuwa US ni miaka2 wakati UK ni mwaka mmoja pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama unahitaji nafasi ya scholarship PM me please
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Naombeni kujua kati ya WIZARA YA ELIMU NA TAMISEMI ni wizara ipi hasa ambayo inashughulikia ajira za walimu na usimamizi wa walimu kwa ujumla wake...!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada wana elimu,kwa anayejua please.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau tuxaidiane hapa,natafuta chuo cha private kinachotoa koz ya clinical medicine ambacho kitaanza masomo mwez wa april kwa ngaz ya certificate na diploma
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Nahitaji kujua shule za a level sayansi esp PCB au PCM nataka tumpeleke mdogo wangu preform v na hata ikiwezekana aendelee huko,nikipata hizo list niangalie ambayo wanafundisha vizuri na mfuko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni barabara iendayo Shule ya Secondary Ndumbwe ambayo niya kutwa iliyopo Mkoani MTWARA halmashauli ya MTWARA VIJIJINI, imekuwa nikelo kubwa kwa watu wapitao barabara hiyo hasa walimu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi yetu,swala la elimu lanzima tulipiganie wote,kila mtu kwa nafasi yake lanzima ajitaidi kufanya awezacho ili elimu yetu isonge mbele.Kwa sasa kinachofanyika ni kulaumu tu badala ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kitendo cha website ya open university kutokufanya kazi vizuri ni cha aibu sana, ni zaidi ya miezi minne sasa website hii inasumbua sana. ikumbukwe kuwa open university ina wanafunzi ulimwengu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom