Dodoma. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga matokeo, kuitwa sifuri.
Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo...
Wadau,
Nimesoma QT, na matokeo ya form four ndio hayo nmepata D2 na C 1 hivyo nina div 4 y points 40، je kwa matokeo hayo naweza kusoma chuo gani? Msaada tafadhali.
Naibu wazir mpya aliyeteuliwa leo hii mh jenista mhagama ana diploma hii ni kwa mujibu wa cv yake bungeni halafu anaongoza wizara ya elimu ni sawa na akili ndogo kutawala akili kubwa. Tutegemee...
Bila shaka uongozi wa mkoa wa Pwani umefanya jambo la busara kumleta DEO mpya mama Elithabeth Ngoyani kuwa Afisa Elimu sekondari wilaya ya Bagamoyo.Kwani baadhi ya watumishi idara ya elimu...
Huu si uungwana matokeo yatoke lakini watoto wengine wawekewe withheld wakati ada ya mtihani wamelipia na kama haitoshi serikali ipo kimya muda wote toka tarehe 21 feb mpaka leo serikali haijasema...
Katika matokeo ya mtihani wa kufungia Shule wa mwisho wa muhula wa 2013 uliouhusisha kidato cha tatu na nne maarufu mtihani wa tahosa Vijana wamekuwa wapili katika mtihani huo kati ya shule...
Kuna sms imezagaa ikisema kuwa tangazo kutoka kwa loan officer kwamba boom litaanza kusainiwa kuanzia trh 3 hadi 11 ,je hii ki2 ni kwel ! Kwa anaejua bac 2fahamishane !
Kwa wale waliopitia A-LEVEL in govermet or hata kama ni private lakini anafaham plz naombeni m2juze ili 2weze ku focus 2taanzia wp? Maana weng we2 2natoka katika familia za kipato cha chin so...
Ukitazama historia viwango vilivyokuwa vikitumiwa na baraza la mitihani kipindi cha nyuma Vilitumika kwa muda mrefu. Viwango hivi viliwanyima wanafunzi wengi kuendelea na masomo ya advance, hivyo...
habar? samahani wana jf ninaomba kujuzwa jinsi ya kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya kilimo kwa mtu aliyehitimu kidato cha nne na qualification zake
Tangia nimeanza hizi kozi naona masomo magumu kweli katika kusoma kwangu kote sina historia ya kukata tamaa lakini kwa hii kozi nahisi kukata tamaa kunamasomo magumu kweli computer architecture na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.