Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Inagawaje niko kwenye majaribio ya ku upload picha kwanza ili niwe mahiri kama eiyer na tyta...!! Hebu tuone!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdogo wangu anaitaji kufanya mtihani wa form 6 mwaka kesho kwa HKL kama PC . Naomba mnijuze Vitabu vinavyofaa kumnunulia vinavyoendana na mtaala wa sasa kwa hayo masomo.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
naamba tuongee hii hali ya ticha mkuu kumchapa mwanafunzi fimbo zaidi ya kumi eti hajalipa ada. mbaya zaidi anafanya hivyo wakati mitihani ya moku inaendelea.
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Taarifa nilizopo hapa wizaran ni kwamba kutokana na ufinyu wa budget uliopo ndani ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuna taarifa ambazo zimeanza kuvuja chini chini kwamba kwa wahitimu walio...
0 Reactions
68 Replies
15K Views
Jana katika moja ya mijadala hapa mtaani Kinondoni Shamba, Jijini Dar, kulitokea mada iliyozua utata miongoni mwetu pale ambapo mtoa mada ndugu Jackson Joseph alizungumza kwamba kuna AKILI KUBWA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jf kuna mdogo wangu(baba mdogo) ni wakiume yupo hapa Dar amemalza form four 2013 amepata division 4 ya point 39 sasa baba yake amemuambia anampa two weeks awe ameshafkria aende akasome...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ajira mpya za Walimu ni utata. Kutokana na kutokuwa n uhakika wa budget hatimae jana wizara hizi zimeamua kufikia uamuzi ambapo pesa zilizo kuwa na mvutano kuhusu ajira mpya za walimu...
1 Reactions
205 Replies
40K Views
Kufanya vibaya kwa shule za sekondari za kata Tanzania unachangiwa na utaratibu mbovu na chuki binafsi kwa baadhi ya walimu wakuu.Wanawachukia sana walimu wa sayansi,hata kama mwalimu hana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa matokeo haya wanaweza kenda A-Level; History C, Geography C, Kiswahili B, English D, Biology D, Agriculture D, Civics D, Maths F, Chem E, ambayo ni div III ya 31 mbona me namashaka?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza hivi serikali za mitaa zinatufikiriaje kweli mratibu elimu kata mwenye level ya cheti au form four wanapata wapi ujasiri wakuwakagua diploma na degree.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa wale wote wanaotaraji kufanya mtihani wa kidato cha nne na QT (PRIVATE CANDIDATE NA SCHOOL CANDIDATE), wameongezewa muda wa usajili hadi 31 march tofauti na ilivokua awali ambapo leo 28 feb...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hiv ni kweli chuo cha mkwawa wanaanza course ya stashahada ya ualimu? Mwenye uhakika na hili tafadhari na kama ni kweli vp kuhusu ajira za lecturers na TA's zitatangazwa lini hapo mkwawa
0 Reactions
5 Replies
3K Views
STUDY IN PAKISTAN 2014 - 2015 The Ministry of Education and Vocational Training has received an official communication from the High Commission of The Islamic Republic of Pakistan in Dar es...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
pamoja na matatizo mengine ya shule za serikali ieleweke wazi kuwa hawa walimu hawataki kufundisha na ni wazembe,inatakiwa dawa ipatikane,dawa siyo mshahara,hata wakiongezwa mshara hili tatizo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Je nitachaguliwa kuendelea na A-level Matokeo yangu nihaya apa Div-3 point 26 Math-B+ phisics-C chemistr-D biology-D geog-D history-D kisw-D civics-D english-D
0 Reactions
12 Replies
1K Views
I'm b.a economics holder from udsm Nina first class 4.5,,,,napenda sana kuwa Na cpa,,,nitaanza module gan??? ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
808 Views
kwanza nawapa hongera weng mliofaulu nikiwemo na mimi tofauti na miaka miwili nyuma now tumefaulu wengi kwenda advance kwaiyo hii inamaanisha mitihani ya sisi ya form 6 itakuwa migumu sana ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Coastal High School is Located at Tanga City. It is a Private School With Both A Level and O Level Students. Currently, the School Invites Highly Qualified Tanzanians to Fill 2 Vacant Posts Below...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
jamani mm nina diploma ya computer engineering and networking, kwasasa nataka kusoma hizi professional studies za nje ya nchi. hasa kwenye masuala ya security, nahitaji msaada wenu jamani kwa ushauri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chuo cha Afya ngudu ni miongoni mwa vyuo vikongwe vinavyoongozwa na serkali kwa huduma zote,Lakini kwa sasa chuo hiki kimetelekezwa na serikali kwa huduma zote zinazowahusu wanachuo wa hapo,baadhi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom