Tafadhali naomba msaada kwa anayesoma udsm au mtu yoyote au lecturer, anipositie course content ya MA PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. asante kwa msaada wako.
wana Jf mimi binafsi nilijua mwenye ufaulu E na kanafuu kidogo kuliko aliyepata F
na kama ni hivyo ni kwanini watumie madaraja mawili.
UFAFANUZI WA MASWALI MBALIMBALI U YA WADAU WA ELIMU...
Siku hizi chekechea hadi katika nyumba za watu uswahilini huku wazazi wakikomaa kupeleka watoto nursery waje wajitegemee na kujiajili. Hakuna kimbilio mkamate elimu, ukimuacha aende zake utaipata...
Ndugu zangu walimu wa Subira wenzangu taarifa ya naibu waziri Jenista kama ilikua ya ukwel japo wengi tuliipinga ..kwa Mujibu wa gazeti la Leo la Uhuru ni kwamba serikali ishakamilisha kila kitu...
Wana jamii wenzangu naomba nisaidiwe maana nkila application ambayo nai downlod kwenye sim yangu nikiifungua naambiwa niweke Zip Code jee hii Zip code ni kitu gani naomba msaada wenu.
Hili huwa haliishi kunishangaza!
Mfano,Upper second ni 3.5-4.3,sasa mtu akipata GPA 3.4998,nilitegemea itakuwa 3.5,lakini badala yake inakuwa 3.4[truncation]!
Kwanini Universities ziliamua...
nina mdogo wangu wa kike naishi naye hapa kwangu na amemaliza diploma mwaka jana maana yeke naye anasuburi ajira,
lakini sasa katika mtihani wake alipass akapata gpa 2.6 kwa mitihani yao ya...
Habari nilizozipata hivi punde ila hazijadhibitishwa ni kuwa kuna mwalimu mmoja wa shule ya msingi Mbuyuni , mtaa wa Magulumbasi ulioko Manispaa ya Morogoro (jina ninalihifadhi mpaka ushahidi...
wale tuliosoma kidato c vbaya kama tukakumbushana skuli yetu kama vile mboko za ticha mmari inno , mwakibete na ndemandema na vitu vingne pamja na tcha kapele
Jamani wana janvi mnaweza zani utani kumbe kweli. Shule ya Msingi Jumakisiwani iliyoko Kata ya Katunguru wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza nchi ya Tanzania. Shule hii haijawahi kuwa na mwalimu wa...
Et wana jf kuna kijana amepata div 3 ya 25 na katka komb lake la kwanza alilochagua yan egm ana c ya geograph na b+ ya math je anaweza pata shule nzur ya a-level?
Habari wana jamii.
Moyo Business Networking and Info-Consult Tunatarajia kufanya workshop katika vyuo vikuu kadhaa hapa nchini kuanzia mwishoni mwa mwezi March. Tumepanga kuanza na SUA ambapo...
Heshima mbele wakuu!
Matokeo ya O level 2013 yametangazwa na kumezuka taharuki juu ya ongezeko la ufaulu kwa over 15% na madaraja mapya ya div 1V ya 46 na div 0 ya 41!!
Karibu tufuatane kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.