nashkuru kuitika wito. wangu.najua ni jinsi gani mwajawa na vihoro kila msikiapo suala la ajira.ni wengi wamesema,wametabiri na kudanganya kabisa ooh ajira leo,mara kesho.kua na subira yumkini...
Habari wapendwa naomba anaefahamu chuo kizuri arusha,chenye huduma hostel,au mabweni,kilichopo arusha,,wanachotoa kozi ya nursery teaching au early childhood learning,, tafadhari anisaidie,,nipo...
habari zenu wanajukwaa ni matumaini wote mko vizuri kwa ufupi mimi ni mtahiniwa wa kidato cha nne so nimejipanga nataka kuingia chuo cha mipango dodoma but nimeambiwa unaweza kuingia DIPLOMA moja...
Imezoeleka kuwa wanachuo wanaenda mazoezi ya kufundisha mwezi wa pili, lakini sasa hakuna taarifa yoyote hata wakuu wa vyuo hawajui,sijui ndo tuseme pesa zimeenda kwenye bunge la katiba au hazipo...
Maajabu matokeo kidato cha nne
MATOKEO ya kidato cha nne yaliyotangaza hivi karibuni yameendelea kuibua mkanganyiko kutokana na kuwapo kwa utofauti wa madaraja kwa pointi zinazozolingana...
Vijana najua mumesubiri sana lakini swala la ajira nitete bado kwasababu majina huwa yanapelekwa kwanza wilayani kwa wakulgenzi ndio post zitangazwe lakini mpaka sasa majina hayajapelekwa. Kwa...
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimezipata kuwa ukimaliza diploma unauwezo wakusoma postgraduate kama umefaulu vizuri bila kusoma bachelor degree na vigezo wanavyotumia ni vipi?
Jamani nina ndugu yangu anataka kusoma bachelor of science in irrigation and water resources engineering pale sua,mim sina uelewa wa kutosha juuu ya kozi iyo na je ina future,mwenye kuelewa vizuri...
Habari, natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi(AFISA KILIMO) Kutoka mkoa wa MOROGORO, DAR, TANGA NA
PWANI. Aje Mkoa wa MBEYA Halmashauri ya MBEYA. Mawasiliano no. 0657949631, email...
Naomba tulinganishe madaraja yaliyokuwa yakitumiwa na Necta kabla ya madaraja mapya.
alama zilizokuwa
zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) katika kupanga matokeo
hayo...
Mmetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mtihani uliofanyika mwaka 2013, hata kama ni BRN ni sawa, lkn mmeacha maswali mengi yasiyo na majibu, mfano:
1. Hakuna ufafanuzi credit ni ipi kwa sasa...
Habari zenu wakubwa na wadogo, siku ya trh 22,2 ilikuwa ni siku ya furaha kwangu baada ya kupata matokeo yangu ya kidato cha nne na kufaulu vizuri. Nilipowajulisha walezi wangu kuhusu hayo matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.